YEHODAYA
JF-Expert Member
- Aug 9, 2015
- 36,902
- 51,995
Nilikutana na mzungu mmoja kanishangaza kaniambia.
Ukisafiri kote duniani Wilaya nyingi huwa na aina mbili au tatu za pombe za kienyeji. Lakini wilaya ya Rombo Mkoa wa Kilimanjaro ina pombe za kienyeji zaidi ya hamsini!
Hivyo kwa mujibu wake kuwa wilaya inayoongoza duniani kote kuwa wilaya yenye aina nyingi za pombe za kienyeji kuliko wilaya yoyote duniani.
Hivi niwapongeze au niwatukane?