WHATSAPP HAIPOKEI UJUMBE

WHATSAPP HAIPOKEI UJUMBE

Nimetafuta simu nzima sijakiona aisee dah.... Au nirudi kwenye WhatsApp yangu ya kawaida nini?????
Hahahaha pole mkuu kipo kwenye developer option angalia picha hii
da6dea13eecbc415c63f838fa6339722.jpg
 
mm nina shida na what sup calls yaani naona tu miss calld
Hata mimi na tatizo hilo cm yangu mwanzo nilikuwa naweza kupiga au kupokea cm Za whatsup ila sasa hivi inaniambia mpaka niconnect na wifi.
 
Hata mimi na tatizo hilo cm yangu mwanzo nilikuwa naweza kupiga au kupokea cm Za whatsup ila sasa hivi inaniambia mpaka niconnect na wifi.
Tafuta vpn inaitwa flyvpn ipo playstore. Tatizo sio simu ni baadhi ya mitandao ya simu wameblock hiyo service
 
Back
Top Bottom