Habari za muda huu wakuu.
Naomba msaada wa contact za mtu yeyote anayefanya kazi sekretariet ya ajira kwani Kuna ndugu yangu Ana aply nafasi ya kazi kila skifuka mwisho inafail. Ana sifa zote zinazohitajika katika hiYo nafasi.
Natanguliza shukrani zangu
Habari za muda huu wakuu,
Kuna utaratibu nimekutana nao pale NSSF Ofisi ya mikoa au wilaya za Ilala na Temeke kwamba ukiwa unafuatilia mafao yako wakati wa kurudisha zile fomu zao unatakiwa uchukue namba getini siku husika. Hilo sio tatizo ila muda wa kuchukua hizo namba ndo tatizo.
Walinzi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.