mangare 1st
Member
- Jul 16, 2017
- 30
- 40
Habari za muda huu wakuu.
Naomba msaada wa contact za mtu yeyote anayefanya kazi sekretariet ya ajira kwani Kuna ndugu yangu Ana aply nafasi ya kazi kila skifuka mwisho inafail. Ana sifa zote zinazohitajika katika hiYo nafasi.
Natanguliza shukrani zangu