Recent content by maneno21

  1. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta mchumba/mume

    Weka namba
  2. M

    JamiiForums Tanzania Kila mwanamke ninaye mtongoza,akatai....

    Nipe technique mwamba maana me nachezeaga vibuti tu
  3. M

    JamiiForums Tanzania Mbona siwaoni waoaji mwe!

    Tuma picha kwanza tukuone
  4. M

    JamiiForums Tanzania Oman: Rais Samia ataka kuwepo Maritime transport ya kusafirishia Wanyama wakiwa hai kutoka Tanzania kwenda Oman

    Kaka acha akili mgando Kama alikuwa nataka kuiba angetangaza ili iweje
  5. M

    JamiiForums Tanzania Uzi wa kutafutana waliopoteana kwa muda mrefu

    Namtafuta sister angu mmoja anaitwa eveta tulikuwa tunakaa wote manzese beston alimaliza Baptist secondary mwaka 2006 mara ya mwisho alisema anaenda Arusha
  6. M

    JamiiForums Tanzania Uzi wa kutafutana waliopoteana kwa muda mrefu

    Namtafuta mrembo mmoja anaitwa lidya wolfgun tulikuwa tunasali wote manzese parish miaka ya 2004&5 alimaliza shule ya msingi ukombozi manzese alikuwa anakaa tip top gorofa la mbao nilikuwa namzimikia xana bila ya yeye kujua popote ulipo naomba unidm tafadhali
  7. M

    JamiiForums Tanzania Ni short course gani ambayo ni nzuri na ipo katika soko kwa sasa?

    Naomba mwanga kwenye umeme wa magari chief
  8. M

    JamiiForums Tanzania Ni short course gani ambayo ni nzuri na ipo katika soko kwa sasa?

    Iyo social media management naomba mwanga
  9. M

    JamiiForums Tanzania Ni short course gani ambayo ni nzuri na ipo katika soko kwa sasa?

    Kiongozi naomba mwanga katika hiyo multimedia
  10. M

    JamiiForums Tanzania Mtaji wa milioni moja, naomba wazo la biashara

    We jamaa m1 kubwa xana Kama utapata mawazo mazuri na sio mtu wa kuchagua biashara fanya biashara ya matunda kwa mjini Kama dar tafuta stand zilizochangamka
  11. M

    JamiiForums Tanzania Mtaji wa milioni moja, naomba wazo la biashara

    We jamaa uko vizuri nimependa idea yako japo ushauri cjaomba mm
  12. M

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi wa Sekondari Mpaka Chuo Kikuu: Pata Vitabu vya Masomo Mbalimbali Hapa

    Kaka unafundamental of physics kwa o level
  13. M

    JamiiForums Tanzania Uzi maalum wa kutafuta mchumba. Weka Wasifu wako hapa upate wa kuanza naye maisha (njoo tuishi/tuyajenge)

    Nipo Moro town demu aliye serious kula bata anicheck kupitia namba hii 0622841719 muda huu
  14. M

    JamiiForums Tanzania Yupi ni mbaya zaidi kati ya anayekuroga usipate pesa na anayekuroga jogoo asisimame?

    Kaka uchawi wowote sio mzuri
  15. M

    JamiiForums Tanzania Kero Mbagala

    Wadau wazima? Natumai kuwa wote wazima wa afya maana Mungu mkuu wa yote amewanusuru na majanga ya siku nzima,me nilikuwa na kero kidogo maeneo ya Mbagala stand ya saku ya zamani kwa nyuma Kuna stand ya bajaji yaani mvua ikinyesha kuna tope linalofanana na kinyesi kabisa tena tope lenyewe...
Back
Top Bottom