Tuma picha kwanza tukuoneMmejificha waaaaapiiii wajameni, mbona mnataka tuzeekeee tuuu bila huruma
Hebu mtuoe basi tumechoka mikelele ya wazazi. Hakuna kigezo wala masharti hapa,sibagui sichagui [emoji1] Ila ukija na usiponioa oohoooo utakijua cha mtema kuni[emoji41]