Hali zenu wanajamvi, Mimi nashukuru nipo hai natarajia kuchanja wiki hii.
Naomba wapinzanzi watafakari jambo moja tu: Anapopatikana kibaka mwanaume huuawa au hupewa kipondo cha hali ya juu. BUT anaposhikwa kibaka mwanamke hata sehemu kama kariakoo hali huwa tofauti sana. Hushikwashikwa na...
LIST of ACCREDITED UNIVERSITIES IN TANZANIA.
Kubishana na mtu mjinga kwa maneno haitoshi... attached is the list of accredited Universities in Tanzania. Labda kama utasema TCU nayo haina viwango....
Naungana nawewe mkuu. Namshauri awe makini sana ikiwezekana amtafute baba na hao kaka wengine awatambue. Dunia hii inamambo mengi usiyoyatarajia na pia kama unafamilia yenye mabinti na wavulana wadogo ujue kuanzia sasa uwe extra careful.
Mimi nilimuambia bibi harusi mapema kwamba nyumba yangu imejaa vitu so hakuna pakuviweka vyake. akaviacha kwao. This is my home and she is my wife. I am obligated to shelter, feed, bed and dress as well as to protect her....
Kwanini wazazi wahisi mimi sina kitanda? sina godoro?
Habari zenu wanandugu!!!
Nimekuwa mshenga nasimamia harusi ya ndugu yangu. Jana tulikuwa tunawaza zawadi ya bibi harusi tukataja mambo mengi sana. Kisha nikawaza..
1. kuna haja kweli ya familia ya bibi harusi kumnunulia kila kitu binti yao wakati anaenda kuolewa? yaani kitanda, kabati, vyombo...
====
Kwa taarifa yako, wale wabunge wote mjengoni watoto wao hawasomi shule za public.... Kama wapo ni wachache ambao wameenda shule zinazoitwa maalum. Waziri wa elimu na wakurugenzi wa elimu pale wizarani hawasomeshi watoto wao shule za public...
Kwa maana wanachakachua mchuzi mle nyie, wao...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.