Msaada kuhusu kulea mtoto ambaye siyo wako

careenjibebe

JF-Expert Member
May 28, 2020
900
1,000
Kifupi jana nilikutana na kijana wa kiume mwenye umri wa miaka 16 alikuwa anauza vitumbua kwa kutembeza. Katika mazungumzo nikagundua kijana yule ametoka mazingira magumu sana kiasi kwamba anasema hampendi kabisa mama yake kwa sababu alimuacha kwa baba yake akiwa mdogo na hajui alipoelekea mpaka leo.

Yeye alikuwa akiishi na kaka zake waliochangia baba kwa hiyo alikuwa akipigwa sana hali iliyosababisha atoroke nyumbani.

Sasa mimi nafikiri kumchukua na kumlea kama mwanangu lakini sijui nifanyaje kisheria ili isijeniletea tabu siku za baadae.

Naomba mwenye uzoefu na jambo hili kisheria au vinginevyo anipe ushauri ili nimnusuru yule mtoto.
 
Bambushka

JF-Expert Member
Jan 9, 2020
2,650
2,000
16 years, aliyekulia mitaani na maisha magumu, chukua tahadhari, ni waongo, kwa kawaida kufuatana na maisha, waliyoyapitia. Huwezi ku verify story!

Kila la heri, anzia ustawi wa jamii!

Everyday is Saturday..... :cool:
 
Behaviourist

JF-Expert Member
Apr 8, 2016
33,191
2,000
16 years, aliyekulia mitaani na maisha magumu, chukua tahadhari, ni waongo, kwa kawaida kufuatana na maisha, waliyoyapitia. Huwezi ku verify story!

Kila la heri, anzia ustawi wa jamii!

Everyday is Saturday............................... :cool:
Kwa vile umeshiba ndiyo maana unawekea wenzako vizingiti? Chunga ndugu hiyo everyday is Saturday isije kubadilika na kuwa everyday is blue monday, future is very uncertain ndugu! Leo kwa dogo kesho kwako. Hakuna sadaka kubwa zaidi ya kumsaidia binadamu mwenzako.
 
uttoh2002

JF-Expert Member
Feb 3, 2012
5,773
2,000
Kifupi jana nilikutana na kijana wa kiume mwenye umri wa miaka 16 alikuwa anauza vitumbua kwa kutembeza. Katika mazungumzo nikagundua kijana yule ametoka mazingira magumu sana kiasi kwamba anasema hampendi kabisa mama yake kwa sababu alimuacha kwa baba yake akiwa mdogo na hajui alipoelekea mpaka leo.

Yeye alikuwa akiishi na kaka zake waliochangia baba kwa hiyo alikuwa akipigwa sana hali iliyosababisha atoroke nyumbani.

Sasa mimi nafikiri kumchukua na kumlea kama mwanangu lakini sijui nifanyaje kisheria ili isijeniletea tabu siku za baadae.

Naomba mwenye uzoefu na jambo hili kisheria au vinginevyo anipe ushauri ili nimnusuru yule mtoto.

Help him if u can!
 
careenjibebe

JF-Expert Member
May 28, 2020
900
1,000
16 years, aliyekulia mitaani na maisha magumu, chukua tahadhari, ni waongo, kwa kawaida kufuatana na maisha, waliyoyapitia. Huwezi ku verify story!

Kila la heri, anzia ustawi wa jamii!

Everyday is Saturday............................... :cool:
Ndiyo maana nikataman kupata ushauri wa kitalaam,wakisheria na uzoefu pia...anaweza kuwa muongo kwa kutafuta msaada au vyovyote vile...Ila jana kaniliza sana.
 
mandokwa

JF-Expert Member
Jun 5, 2013
618

Naungana nawewe mkuu. Namshauri awe makini sana ikiwezekana amtafute baba na hao kaka wengine awatambue. Dunia hii inamambo mengi usiyoyatarajia na pia kama unafamilia yenye mabinti na wavulana wadogo ujue kuanzia sasa uwe extra careful.
 
uttoh2002

JF-Expert Member
Feb 3, 2012
5,773
2,000
Aim ready...i can!

I have helped many people; it can be a tough journey, and disappointing but no regret at all.....

A new character coming in your home, kama una watoto wa kike, you should be careful sana!

Nafikiri kama alikuwa anaishi mwenyewe, then do not bring him direct inside your house, May be a room outside your home?

Mlee katika kumjengea mazingira ya kujitegemenea! What about a vocational training?

Mtoto aliyekaa exile for 16 years jua amezoea maisha fulani ambayo yamemkomaza kitabia; expect some challenges!

At the end of the day, you are helping; and so if you are helping, then help By heart!

Expect challenges, naukiona anakushinda let him go, there are so many, u won’t finish them!

Najua umeshikwa na moyo wa huruma, ila huo huruma usije kuvuruga mambo yako!

May the Lord of heaven help you as your take this journey l!
 
careenjibebe

JF-Expert Member
May 28, 2020
900
1,000
I have helped many people; it can be a tough journey, and disappoint but no regret at all.....

A new character coming in your home, kama una watoto wa kike, you should be careful sana!

Nafikiri kama alikuwa anaishi mwenyewe, then do not bring direct inside your house, May be a room outside your home?

Mlee katika kumjengea mazingira ya kujitegemenea! What about a vocational training?

Mtoto aliyekaa an exile life for 16 years jua amezoea maisha fulani ambayo yamemkomaza kitabia; expect some challenges!

At the end of the day, you are helping; and so if you are helping, then help my heart and not much more!

May the Lord of heaven help you as your take this journey l!
Ameen! Lem take this as it is...may god be with m..
 
Jesusfreak08

JF-Expert Member
Jul 20, 2019
727
1,000
I have helped many people; it can be a tough journey, and disappointing but no regret at all.....

A new character coming in your home, kama una watoto wa kike, you should be careful sana!

Nafikiri kama alikuwa anaishi mwenyewe, then do not bring him direct inside your house, May be a room outside your home?

Mlee katika kumjengea mazingira ya kujitegemenea! What about a vocational training?

Mtoto aliyekaa exile for 16 years jua amezoea maisha fulani ambayo yamemkomaza kitabia; expect some challenges!

At the end of the day, you are helping; and so if you are helping, then help By heart!

Expect challenges, naukiona anakushinda let him go, there are so many, u won’t finish them!

Najua umeshikwa na moyo wa huruma, ila huo huruma usije kuvuruga mambo yako!

May the Lord of heaven help you as your take this journey l!
Safi sana
God bless you ,
 
Bambushka

JF-Expert Member
Jan 9, 2020
2,650
2,000
Ndiyo maana nikataman kupata ushauri wa kitalaam,wakisheria na uzoefu pia...anaweza kuwa muongo kwa kutafuta msaada au vyovyote vile...Ila jana kaniliza sana.
Nenda ustawi wa jamii, watakupa ushauri, umchukue, ukae naye, ninakuombea mwisho mwema, utuletee mrejesho!

Wengi wao, siyo wote, huwa wanakuwa tiyari walishazoea kuishi maisha ya uhuru, hawapangiwi wala kuambiwa, leo kaa ndani, nenda shule, wanajipangia!
Atatulia siku za mwanzo baadaye analimiss life kitaa! Mtazinguana!

Everyday is Saturday............................... :cool:
 
renamaizo

JF-Expert Member
Oct 17, 2014
1,597
2,000
Kifupi jana nilikutana na kijana wa kiume mwenye umri wa miaka 16 alikuwa anauza vitumbua kwa kutembeza. Katika mazungumzo nikagundua kijana yule ametoka mazingira magumu sana kiasi kwamba anasema hampendi kabisa mama yake kwa sababu alimuacha kwa baba yake akiwa mdogo na hajui alipoelekea mpaka leo.

Yeye alikuwa akiishi na kaka zake waliochangia baba kwa hiyo alikuwa akipigwa sana hali iliyosababisha atoroke nyumbani.

Sasa mimi nafikiri kumchukua na kumlea kama mwanangu lakini sijui nifanyaje kisheria ili isijeniletea tabu siku za baadae.

Naomba mwenye uzoefu na jambo hili kisheria au vinginevyo anipe ushauri ili nimnusuru yule mtoto.
Dah !! Mrudiahe kwao muongee na wazaz wake mbali na hapo ni kununua kesi tu
 
careenjibebe

JF-Expert Member
May 28, 2020
900
1,000
Nenda ustawi wa jamii, watakupa ushauri, umchukue, ukae naye, ninakuombea mwisho mwema, utuletee mrejesho!

Wengi wao, siyo wote, huwa wanakuwa tiyari walishazoea kuishi maisha ya uhuru, hawapangiwi wala kuambiwa, leo kaa ndani, nenda shule, wanajipangia!
Atatulia siku za mwanzo baadaye analimiss life kitaa! Mtazinguana!

Everyday is Saturday............................... :cool:
Nadhan kupitia ushaur huu nitamsaidia kulingana na kile anachokitaka...sitamlazimisha ambacho hatak
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom