GUSSIE
JF-Expert Member
- Dec 2, 2014
- 3,866
- 11,100
Wanabodi, kilichotokea leo kwenye kuapa kwa yule muhitimu wa Mzumbe na IFM ni ushahidi tosha kuwa hakuna elimu Mzumbe na IFM
Ukweli ni mchungu sana. Kuna vyuo vilipandishwa hadhi ya kutoa shahada za awali na uzamili kisiasa tu. Vyuo kama Mzumbe na IFM bado sana sana
Mosi, Havina wahadhiri wa kutosha hasa wabobezi
Mzumbe na IFM havina mipango endelevu ya kusomesha na kuendeleza Walimu wao vijana huko Ulaya, Vinategemea walimu wa kukodi na kuunga unga tu toka vyuo vingine.
Ni aibu na dharau kubwa sana kwa wahitimu wa hivi vyuo, Wamejaa majungu na uzandiki wa kutisha
Jamaa ana Masters ya Mzumbe hajui kusoma kiswahili alifauli vipi? Presentation alifanya vipi? Mtoto wake nyumbani atamuona Baba vipi?
Pili, lengo la chuo ni kuwafanya wahitimu kuwa na uwezo wa kujiamini na kupambana na mzingira mapya wakati wote. Huyu muhitimu aliyeapa leo kwa kuogopa na kutetemeka toka Mzumbe na IFM ni funga mwaka.
Naungana na Rais lazima elimu yake ichunguzwe, hii ni aibu kwa taifa
Hakika jamaa hajawi fanya presentation au kuandaa report yeyote akiwa huko Mzumbe na IFM
Elimu yake ya stashahada ya juu ameipatia kwenye chuo kisicho na hadhi IFM
Elimu yake ya shahada ya uzamili kajipatia hapo Mzumbe chuo ambacho hakina hadhi pia
Vyuo vinavyotambulika Tanzania na accredited vinavyoweza kukufanya ukasome Ulaya kirahisi kwenye shahada za juu bila kurudia shahada ya uzamili ni UDSM na SUA tu
Huyo jamaa achunguzwe ameleta aibu kuu ya Taifa na dharau kubwa mbele ya Rais
Je, Mzumbe kuna profesa wangapi na wameandika article ngapi kwenye international Journals?
Je, IFM kuna profesa yeyote ambaye anatambulika kimataifa na ana papers zake kwenye international Journals?
Mzumbe na IFM wamejaa walimu wenye shahada moja au mbili yaani Tutorial assistance tu
Walimu wa Mzumbe na IFM wakienda UDSM na SUA kazi yao ni kusimamia seminar au Seminar leaders
Seminar leaders ndio wamegeuka walimu Mzumbe na IFM
Ni vyema hivi vyuo kuvi downgrade virudi kuwa vyuo vya kati na sio vyuo vikuu havina hadhi
Leo hii ni kawaida kuwasikia vijana tunaenda kusoma Mzumbe kwa kuwa elimu ni rahisi sana na hakuna kufuatiliana
Leo hii ni kawaida kusikia naenda kusoma Masters IFM kwani ni rahisi sana na hakuna usumbufu na kufuatiliana