Recent content by ManDizzo

  1. ManDizzo

    JamiiForums Tanzania Sheria inasemaje endapo nimemkopesha mtu pesa bila maandishi

    Mkuu jaribu kwenda kuongea nae ukiwa unarekodi Fanya kama unamuulza awe anakili ulimkooesha na wengine ili kukamilisha ushahidi then uchukue hatua
  2. ManDizzo

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamu Sheria yetu ya hapa Tanzania inasemaje kwa mtu/muajiri anae kashifu wafanyakazi wake

    Sasa kwa hayo maeleo kwel hata waajiliwa wana mikataba kweli???
  3. ManDizzo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake au wanaume mliowahi kutongoza mlifanyaje mlipokataliwa?

    We jamaa yupo sawa kabsa yani..[emoji848] Hongera mwenzetu upo tofauti na cc[emoji42][emoji42]
  4. ManDizzo

    JamiiForums Tanzania Wahitimu wa Chuo na hawana kazi tukutane hapa

    Pole sana mkuu, Never lose hope, mda wako utafika! Endelea na mapambano bila kuchangua kazi cha msingi usibweteke mtt wa kiume, niliuzaga matunda, nilipiga saidia fundi, nikawa nasajil laini kwa alama za vidole & nikajitolea kama mwalimu kabla ya kupata kijimwangaza kdg. One day yes!
  5. ManDizzo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sitokaa nioe: Hawa wanawake tulioambiwa tuishi nao kwa akili hawafai hata kuishi nao

    Amkeni tayari hukuu Ila pole mkuu ndo uwanaume huo Kuoa maana yake unakubaliana na kila litalotokea yan liwalo na liwe tu[emoji1781]
  6. ManDizzo

    JamiiForums Tanzania Machache usiyoyajua kuhusu Zanzibar.

    Simu za ku slide ni simu za mtelezo/mseleleko
  7. ManDizzo

    JamiiForums Tanzania Naomba Kujua namna ya kuangalia deni la HESLB online

    Umefikia hatua gan?? Umeji register na kulog in then haujui namna ya kuangalia?? Au unaishia hapo nje hata acc yako haujacreate
  8. ManDizzo

    JamiiForums Tanzania Huu ndiyo uongozi sasa baada ya kupatwa kwa miaka mitano iliyopita!

    Kuhusu ajira hakika omeongea ukweli mtupu Mapungufu yapo ktk kila uongozi na yataendelea kuwepo mkamilifu hakuna cha msingi unafuu tu
  9. ManDizzo

    JamiiForums Tanzania Naomba kwa yoyote anae uza vitu vya saluni ya kiume ajitokezeanitajie bei zake lakin asiwe nje ya daresalaam

    Kuna vioo vikubwa viwili frame alminium Kama bado haujapata njoo inbox
  10. ManDizzo

    JamiiForums Tanzania Maswali kuhusu ajira za SBL

    Mimi nilichoelewa hapa ni kuwa uliambiwa peleka cv paleee, kwahyo ulivofika ni kusalimiwa na kujuliwa hali ya home tu. Naafikiana na ww mkuu, ofisi nyng hr anapokea mtu kutoka kwa mtu anaemfahau au kupewa oda. Uwa najiulizaga sana sijui ni sababu za kiusalama au kujuana tyu
  11. ManDizzo

    JamiiForums Tanzania Kuna aliyewahi kupata kazi au kuitwa kwenye usaili kupitia Brighter Monday?

    Nimewai itwa mara moja nikapiga written then nkapga oral tukashindwana Lakini kabla ya hapo niliwai pokeaga sms ya kitapeli, alidai niliomba kazi wanapitia cv yng ni nzuri so nitume pesa anipitishe then mshahara wa kwanza atakata 500k afu alidai salary ni 1.8m cm hapokei, ile kampuni niigugo...
  12. ManDizzo

    JamiiForums Tanzania GE2020 Inauma sana, nasikiliza matokeo hapa nahisi kama roho inataka kutoka

    Bora wewe una moyo bado unafatilia Mimi nimeamua kutoka kabsa nisiendelee kuskilza matokea
  13. ManDizzo

    JamiiForums Tanzania Kwa huu mwenendo wa uchaguzi wa mwaka huu; Gharama za uchaguzi ujao bora zitumike kutoa ajira

    Habari wakuu, Kwa huu upepo wa uchaguzi mwaka huu pesa za kugharamia uchaguzi zinazotoka katika kodi zetu bora zitumie kuajiri vijana waliopo mitaaani toka 2015 au ziongeze mishahara tu at least tutakuwa tumezitendea haki. By the way hongereni CCM kwa ushindi wa kishindo. CCM chaguo la...
  14. ManDizzo

    JamiiForums Tanzania GE2020 Majimbo haya yanatakiwa kwa gharama yoyote na CCM

    Hii sio ccm tena itakuwa ni CCM+ au CCM PRO
Back
Top Bottom