Wanawake au wanaume mliowahi kutongoza mlifanyaje mlipokataliwa?

Pengine hajatoa advance hata kidogo.Bado anajieleza ndo maana dem anamzungusha.

Ili umpate mwanamke, either akupende au you must use other factors like money ili umpate kinguvu .
Hahahahah mwamba ana mkono wa birika😅! Itachukua muda sana kupata anachotaka ni sawa na kusubiria Ndege itue ferry 😅😅😅
 
Kupewa mbunye hutaki pia
Mbunye siwezi kosa ni swala la muda tu ila mbususu ya kuuziwa hainogagi kabisa. Sijui wanaonunua wanawezaje wenzangu.

Kila nikiwaza mbususu napewa kwa exchange ya hela stim zitakata. Bora nipate mbunye asilia tu. Zipo za kutosha tu.
 
Mbunye siwezi kosa ni swala la muda tu ila mbususu ya kuuziwa hainogagi kabisa. Sijui wanaonunua wanawezaje wenzangu.

Kila nikiwaza mbususu napewa kwa exchange ya hela stim zitakata. Bora nipate mbunye asilia tu. Zipo za kutosha tu.
Labda ule mbuzi
 
Hahaha inategemea na mwanaume, kama mm binafsi najiheshimu na nina mipaka, siwezi lala na kila mwanamke anaenitaka, hata mdada akinivamia chumbani avue nguo zote Abaki uchi, kama simtaki, nitaishia kumkimbia, kuna baadhi ya wadada walinioneshaga ishara kuwa wananitaka kingono, niliijua nia yao, ila mm nilijifanya sielewi wanachomaanisha..bhasi baada ya muda, Baadhi ya wadada waliokuwa wananitaka, wanaishia kunichukia kisirisiri Dinazarde
We jamaa yupo sawa kabsa yani..
Hongera mwenzetu upo tofauti na cc
 
Mimi nishawahi kumwambia mshikaji wangu juu ya hisia zangu kwake(Nilimpenda ile at first sight) cuz tulitambulishana na rafiki yetu.

The guy alikua mtanashati halafu smart kichwani . Baadae tukawa friends sana cuz we really enjoyed each other's company.

Nilikua nikimuona tu moyo unaenda mbio(lol), nikaamua kumwambia kuwa I am in love with him.(It was embarrassing though).So alinikumbatia sana na kuniambia kwamba ananipenda kama dada na asingependa kunichezea.. Mambo blabla sijui he treasures our friendship.

Ilibidi nimwambie nilikua nakutania japo roho ilikua inaniuma .Ila alizidisha upendo badae nikampotezea.

Since that day, bora nimeze tonge siwezi muanza mwanaume .

Japo baadae kuna mwingine alikua ananipenda na pia nikawa nampenda but simuanzi cuz sikutaka another embarrassment.So siku tumekaa somewhere then ghafla I stole a kiss, and he kissed back so deeply.So ndo tukawa wapenzi.

Mwanaume anaanzwa kwa vitendo siyo maneno.
Hayo maumivu ndio tunapataga wanaume sema hamjuagi tu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom