Sheria inasemaje endapo nimemkopesha mtu pesa bila maandishi

Emmathias

JF-Expert Member
Jan 22, 2018
484
1,000
Mpaka hapo ulipo nadhani una ushahidi wa msg kama huna naribu kutuma msg ajibu ionekane unamdai, piga simu ukizungumzia deni lenu huku ukimrekodi huo utakuwa ushahidi tosha, shida anaweza kukubali ila akawa anakupa elfu 60 kila mwezi.
Asante sana kwa ushauri mkuu,
 

Emmathias

JF-Expert Member
Jan 22, 2018
484
1,000
Mrejesho ni kwamba, tulipelekana police baada ya kufika Hapo jamaa akawekwa ndani kwa masaa 3 then akaomba aje tuongee ndipo akakiri kuwa namdai na akaahidi kulipa Tsh 60,000 kwa mwezi.


Asanteni sana kwa ushauri wenu
 

white wizard

JF-Expert Member
May 18, 2011
6,135
2,000
Mkuu yule ni kijana mdgo sana, tumesoma wote darasa moja

Kama atanizungua zaidi mipango yangu ni kuchukua kifaa cha inchi kali na kufanya namna afu natoweka kbsa naenda kuanza upya
Sasa huo utakuwa ni ujanja au ujinga?!!labda kama na wewe unaenda kuamza upya mbinguni sawa, lakini kama utabakia hapa duniani, na ukakamatwa utajiona bonge la mjinga!!kwani ni kufia jela tu
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom