yeye ni nyumba ndogo yako na wewe ni jumba ndogo yake kubwa ipo .ndugu yangu mapenzi anayokupa anakuibia tu hana lolote atakuvuna mpaka ubaki na araiyooo.rudi kwa mkeo.
hahahaha eliza ucku wote hulali.kazi kutizama mumeo anafanya nini ucku. ukiona anachart sana mpe kikombe kimoja cha babu atalewa zen atalala, alafu uanze kuchart wewe.
pole sana imm sasa huyu ndiye yule x au ni yule mpya ndiye kakutosa.una ukumbuka ule wimbo unaosema kuachwa ni shughuli pevu? unajua nyie wanaume mkiachwa mnatishia kujiua je? cc wanawake tukiachwa tutishie kucheka au?? pole ndugu ndo ukubwa huo
mimi ni last born ila ckuwahi kudekezwa hata kidogo.hiyo mijeledi.hapa ndo ilikuwa kituo chake.so hayo magem punguzai. kuyanunua tv aangalie w/end tu pia waombee sana watoto wako kwani mungu ndiye silaa pekee.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.