Recent content by manati

  1. M

    JamiiForums Tanzania Mkutano wa kumtambulisha Mgombea Urais UKAWA-Mbeya

    Picha tafadhali...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Your X anapenda akikutana na wewe akukute umechoka flani?

    Dah! We ni hatarrrrri!
  3. M

    JamiiForums Tanzania Mpiga chabo

    Hahaaa... du! ningemtoa nduki...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Je mnaliona tangazo la Chai Bora...?

    Chai bora bana...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Wanaume ni viumbe wakatili sana! Nimeamua kuwakomesha! (Siku ya Wanawake Duniani)

    kwa hizi kelele zako walah hujawahi kupata mwanaume aliyekutosheleza... pole sana! Ila ipo siku utachapwa mpaka basi.. Nilichogundua zaidi unahasira kwasababu umechezewa sana, na sasa umechuja!! kaza buti mama endelea kukamata hivyo vijiwanaume vinavyokushobokea!!
  6. M

    JamiiForums Tanzania Mfanyabiashara Said Mohammed Saad wa Home Shopping Center (GSM Foundation)

    dah! nimejaribu kusoma kwa kina... naona ukweli upo! Mdau kabla hujacomet jaribu kusoma tena..
  7. M

    JamiiForums Tanzania Unaifahamuje pugu boyz' sec/high school?

    ha haa haaaa! wazee wa fangas mpo? Dah kaka umenikumbusha sana watoto wa taasisi....
  8. M

    JamiiForums Tanzania Intelijensia Kuhusu Maandamano ya CHADEMA

    unatuboa sana! naomba usiendelee kuchangia mada:alien:
  9. M

    JamiiForums Tanzania Shitambala ajibu agizo la Dr. Slaa

  10. M

    JamiiForums Tanzania Shitambala ajibu agizo la Dr. Slaa

    Ushahidi wa nini, mbona inajulikana toka enzi hizo! Nadhani hili limekuwa likilalamikiwa kwa mda mrefu sana, huu ni wakati wa CDM kupatia ufumbuzi malalamiko haya....:angry:
  11. M

    JamiiForums Tanzania Kampala international university

    Hivi TCU ipo wapi?? Inafanya nini? Nauliza kwa sababu wao ndiyo wanapaswa kusimamia vitu vyote vinavyoitwa "Vyuo vikuu" hapa Tz, na wanatakiwa kuwapa wananchi taarifa sahii punde inapobidi. Nadhani kuna harufu ya UFISADI!:A S angry:
  12. M

    JamiiForums Tanzania Kumekucha Bungeni - PICHA za wabunge wapya wakiwa Dodoma

    hahahaa, sitegemei jipya bungeni chini ya Ma-kinda!
Back
Top Bottom