Mu-Israeli
JF-Expert Member
- Mar 21, 2012
- 2,454
- 975
Mtaa mzima anaishi mtu mmoja tu..?? Sioni watu wengine mtaani...!!
Mkuu hili tangazo linapatikana mitaa gani?
Mtaa mzima anaishi mtu mmoja tu..?? Sioni watu wengine mtaani...!!
![]()
Lileee linaonekana kwa mbali .........
![]()
Hapa linaonekana kwa karibu kidogo.......
![]()
Hapa sasa ndio linaonekana kwa karibu zaidi............