Crashwise
JF-Expert Member
- Oct 23, 2007
- 22,227
- 8,760
Unaushahidi au kupakana matope tuUyu jamaa alikula mlungula enzi z uchaguzi mdogo so kama na huu wa 2010 kala siwezi shangaaaaaaaaaaaaaaa
Unaushahidi au kupakana matope tuUyu jamaa alikula mlungula enzi z uchaguzi mdogo so kama na huu wa 2010 kala siwezi shangaaaaaaaaaaaaaaa
Chadema imekimbiwa na wangapi na CCM, CUF, NCCR Manunuzi zimekimbiwa na wangapi...unajua maana ya democrasia? acha ujingawapuuzi hawa wameona kila mtu anawakimbia itakuwa so ngoja huyu tumnganganie bado wengi soon
udini ukabila ubinafsi utawamaliza chadema nilihisi CCM pekee

UshindweChama hiki cha chadema hakina msingi mzuri, subiri kitasambaratika soon, kama kawaida yao!!
Weka ushahidi basi kuthibitisha kauli yajo. At least orodha na mahali wanakotoka, la sivyo itakuwa UDAKU!
Ushindwe[/QUOTE
Inaonekana uelewa wa siasa kwako ni mdogo sana!
"zidumu fikra za mwenyekiti wa chama"
hii ya ccm bwana!Ushindwe[/QUOTE
Inaonekana uelewa wa siasa kwako ni mdogo sana!
"zidumu fikra za mwenyekiti wa chama"
Ushahidi wa nini, mbona inajulikana toka enzi hizo! Nadhani hili limekuwa likilalamikiwa kwa mda mrefu sana, huu ni wakati wa CDM kupatia ufumbuzi malalamiko haya....:angry:
Ni kweli kabisa mkuuKimsingi ni muhimu uongozi wa CHADEMA kuingia kwa undani katika hoja za shitambala. Hata kama kuna tetesi, kwa chama kama hiki ambacho sasa wananchi tunakiamini kama mbadala sahihi wa muelekeo wa siasa za Tanzania, ni lazima kishughulikie mambo kama haya kwa kina na kwa umakini wa hali ya juu
CHADEMA mtambue kushindwa na kudorora kwenu ni kushindwa na kudorora kwa nguvu ya umma na matumaini ya watanzania ya muelekeo mpya wa siasa
Tumechoka na CCM huu ni ukweli usiopingika lakini matatizo madogo madogo kama haya na mengineyo yanatutia katika wakati mguu
SLAA kama katibu mkuu na timu yako PLEASE WAKE UP and WORK OUT ON issue like these and others ili msituangushe watanzania walioamua kwa nguvu na hiari yako kukaa nyuma yenu kutafuta muelekeo mpya wa siasa za tanzania
Inaonekana uelewa wa siasa kwako ni mdogo sana!
"zidumu fikra za mwenyekiti wa chama"
Ushauri mzuri kabisa.Shitambala usijivunjie heshima katika jamii. Madai yako ni ya msingi kabisa lakini namna unavyoyaleta katika jamii unazidi kutoa mianya ya utata juu ya shutuma za rushwa kwako. Nadhani kama uliweza kutuhumiwa kupokea fedha ili uuze Ubunge basi si ngumu kuhisi tena kuwa umepokea ili uisambaratishe chadema huko Mbeya. Katibu mkuu amekuandikia barua kuwa tuhuma hizo hazina msingi na si za kweli lakini wewe unasisitiza kuwa uchunguzi ahujaisha... ni uchunguzi gani huo na unaendeshwa na nani???? Sasa unakuja na dai jipya ... ngoja tusubiri uongozi wa juu utasema nini kuhusu hilo!
Nafikiri Mh. Shitambala unaweza kutenda vyema zaidi ya msimamo ulionao kwa manufaa ya chama na maisha ya baadae ya watanzania
Labda Mh.Shitambala angetuweka wazi nani anamchunguza! Chama Chake ambayo Katibu Mkuu amemwandikia yeye kuwa tuhuma anazo tuhumiwa hazima msingi au Nani?
My Take!
Nadhani Chama kikiendekeza watu wa namna hii (U-mimi)ni hatari huko mbeleni hasa kama hoja hizi zinatoka kwa watu ambao chama kinawategemea kuongoza wengine na kukijenga.
Mhe.Katibu wa Chadema tunahitaji nidhamu kwenye Chama na iwenidhamu inayosimamia misingi ya Chama ili kuondoa tabia hii chafu ya umimi,ni heri ituchukue miaka kumi mingine kupata viongozi wasio wanafiki na wenye u-mimi na masilaha binafsi.
Ushahidi wa nini, mbona inajulikana toka enzi hizo! Nadhani hili limekuwa likilalamikiwa kwa mda mrefu sana, huu ni wakati wa CDM kupatia ufumbuzi malalamiko haya....:angry: