Recent content by Man Ngosha

  1. Man Ngosha

    JamiiForums Tanzania Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    ha ha ha hahaaaaa...kila la kheri mdau
  2. Man Ngosha

    JamiiForums Tanzania Suluhisho la majitaka kutoka manyumbani na viwandani

    Salama mkuu? Mimi Niko Misungwi nahitaji hii huduma, japo nitaomba tuyajenge vizuri kwenye bei
  3. Man Ngosha

    JamiiForums Tanzania Mikopo ya Benki na Matumizi Sahihi kwa Watumishi

    Asante sana mtoa hoja; Suala la kukopa sio baya, cha msingi ni kujiuliza unakopa ili ufanye nini?? kwa mishahara ya Kitanzania na aina ya maisha ya utegemezi uliopo ni ngumu sana kuweka akiba kutoka ktk mshahara kwa kiwango cha kupata kiasi cha kufanya jambo kubwa kwa muda mfupi. Hivyo ukitaka...
  4. Man Ngosha

    JamiiForums Tanzania Jinsi nilivyotumia Tsh. Milioni 1 kuzalisha faida ya Tsh. Milioni 10 ndani ya miezi kumi

    Hongera sana mdau. kweli ulijipanga vizuri na kuweka malengo. Ninatamani kupata abc ya biashara ya uwakala wa bank.. mfano mtaji unaohitajika, na namna mtu anaweza kupata faida.
  5. Man Ngosha

    JamiiForums Tanzania Wale ambao Mama zetu wametangulia mbele ya haki

    Pumzika kwa amani mama yangu, uliniacha nikiwa darasa la 5. Natamani ungekuwepo leo ili uone matunda ya malezi yako kwangu
  6. Man Ngosha

    JamiiForums Tanzania Tuelezane uzuri, ubaya, faida na hasara za utumiaji wa 'Vumbi la Mkongo'

    Asante sana mkuu, kwa ushauri huo.
  7. Man Ngosha

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mkurugenzi wa Uwanja wa Ndege Kilimanjaro, Mhandisi Christopher Mukoma afariki dunia

    Rip Eng. Mukoma. Pole sana kwa familia na jamii ya KIA kwa ujumla.
  8. Man Ngosha

    JamiiForums Tanzania Mungu nisamehe kwa nilichotaka kufanya

    Pole sana ndg, usifanye tena hayo maamuzi ya kutaka kujiua. Endelea kupambana hata biashara ndogondogo Mungu atakushika mkono.
  9. Man Ngosha

    JamiiForums Tanzania CCM yamfukuza uanachama Bernard Membe, Kinana apewa karipio kali huku Makamba akitoka salama

    Boniphace Kichonge, Wafanye maamuzi magumu.
  10. Man Ngosha

    JamiiForums Tanzania Riwaya: Scolastica Temu

    Duh.. ni stori nzuri sana na inafundisha. Tunangoja kujua nini kitatokea zaidi
  11. Man Ngosha

    JamiiForums Tanzania Mambo unayoweza kuyafanya kwa fedha kiasi cha Laki tano

    Ukweli mtupu, kilimo kinalipa ili mradi tu uwe tayari kukabiliana na changamoto zake.
Back
Top Bottom