kulumba
Member
- Apr 10, 2020
- 36
- 130
Daa mbona tunafanana kwa kila kitu sijawahi kumuona mama yangu na baba nae miaka mitatu iliyopita alifarikiPumzika kwa Amani , mama yangu niliambiwa Mungu alikutwaa nikiwa na umri wa miaka mitatu .
Baba alinilea mpaka na yeye alipotwaliwa na Mungu.
Pumzikeni kwa Amani wazazi Wangu.
Raha ya Milele, uwape eeh Bwana na Mwanga wa milele Uwaangazie Wapumzike kwa Amani.
Sent using Jamii Forums mobile app