Mimi ndiye niliyetoa hilo tangazo.
bahati nzuri au mbaya tumesha pata muuza duka mwenye vigezo, na tulisha lifuta hilo tangazo kwenye website tuliyo tangazia. nakuomba na wewe ulifute hapa au uliedit ufute hiyo namba kwani mtu akiona anadhani bado tunahitaji mfanyakazi hivyo tumekuwa tukipokea...
Unacho kilalamikia hakieleweki, hebu fafanua. Inaonekana kama unamaanisha hawa wa miliki wa hizi hoteli za barabarani hawalipi kodi lakini hauna uhakika, kwani hakuna uwezekano wa kuwa wanalipa kodi halali? Nadhani ungeanza kwa kutueleza kwa ushahidi jinsi gani hawa wamiliki wa hizi hoteli...
The school is faring very well now. The progress is very positive as in this year's standard seven results, they ranked 2nd in ilala municipal, and 5th regional wise with almost all students getting an average mark of A, except for two students who had an average of B.
In my opinion, if they...
Mimi ni mkazi wa Segerea, na kwa kiasi kikubwa sana huku watu wana chagua chama zaidi kuliko hata mtu, na kwakuwa ninamkubali sana Mtatiro kwa uwezo wake wa kujenga hoja, ningewashauri UKAWA ili wawe na uhakika wa kulipata hili jimbo, MTATIRO angejiunga na CHADEMA kwa kipindi hiki halafu wampe...
Hakuna haja ya mdahalo, watanzania wamesha chagua raisi wao ambaye ni Mheshimiwa LOWASSA. Atakabidhiwa ilani halafu ataitekeleza kwasababu tunajua anauawezo wa kuitekeleza ilani 100%.
Hatahivyo kipindi hiki ndio mnaona haja ya mdahalo? Miaka iliyopita vipi, mlikuwa hamuoni haja ya midahalo...
Hongera sana kiongozi. Sikuwahi kufikiria kama una busara nyingi kiasi hiki. Kiukweli ninasikitika kwasababu ningependa kuona watu wenye haiba yako pale bungeni. Ila sio mbaya, kwani umesema unakwenda kusimamia mambo mengine na utarejea panapo majaaliwa.Tunakutakia kila lililojema katika...
Usiwe unaleta mada kishabiki. Hauwezi hatasikumoja ukamlinganisha ZITTO na Dr. SLAA katika nyanja yeyote ile iwe kielimu, kiuongozi, kiuelewa wa mambo na hata kiimani. Kielimu, ZITTO anaelimu ya kawaida wakati Dr. SLAA ni PhD holder, Kiuongozi ZITTO hakuna kitu chochote alichokifanya alipokuwa...
Ujamaa kwa kifupi ni wengi wasiofanya kazi kwa ustadi wa hali ya juu kugawana utajiri unaotokana na wachache wanaojituma na kufanya kazi kwa ustandi wa hali ya juu.
Eee Mwenyezi Mungu naomba utuepushie huyu ZITTO KABWELA anayetaka kuturudisha kwenye hizi zama za ujamaa
Wacha uongo wewe, sisi sio watoto. Sasa ivi CDM imeenea kwa asilimia kubwa sana tanzania bara kuliko CUF kwa hiyo hata kwenye maeneo ambayo CUF ipo, bado CDM inanguvu vilevile na ndio maana unaona nao walikuwa wanasimamisha mgombea, na ndio maana utaona walikuwa hawapishani kwa wigo mkubwa. Huo...
Sikubaliani na wewe kuwa CUF ndio wanamgombea bora kuliko wenzake. Hakuna kitu chochote cha kimaendeleo cha mfano wa kuigwa alichokifanya cha kututhibitishia kwamba ndiye bora. Kwa mtazamo wangu nadhani Dr. Slaa ndiye kiongozi bora zaidi, ameonyesha kwa mifano alipokuwa mbunge wa karatu, jimbo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.