Ninamiliki kadi saba za vyama tofauti

Ninamiliki kadi saba za vyama tofauti

Kuwa na kadi ya chama chochote cha siasa kwa sasa ni upumbavu tu...

Zamani ukiwa na kadi ya chama (CCM) kulikuwa na manufaa maana kuna wakati ilitumika kama kitambulisho...

Wenye kufaidika na kadi za vyama kwa sasa ni wale tu wenye madaraka na wanaotarajia 'kupewa' madaraka...

Ubarikiwe mkuu, mie nna kadi moja tu, ya kuniruhusu kupiga kura japo maamuzi yenyewe ya kura inaenda wapi ndio hayo yatafanyika siku nikiwa naelekea kupiga kura!
 
Slaa anazo mbili,lowassa anazo mbili.Wewe naona umewashinda.
 
Watanzania wanafata mtu na sio chama, we huoni lowasa kahama na jamaa wakahama,akirudi ccm na wao watarudi. Kwaiyo ni sawa kuwa nakadi za kumaga.
 
Hongera kwa kuwa na kadi mi hata moja ctaki kuwa nayo ya chama chochote
 
Sawa wewe mjanja. .mtafute Hashim Rungwe Spunda akupe ya 8...
 
Mi sina kadi ya chama. Nna ATM 5, leseni na kichinjio cha Oktoba.
 
Kwamasihara hivohivo ndiyo mnataka kumpa Lowasanchi kwatamaa alizonazo mpaka mchwa watauzwa humu
 
Kwamasihara hivohivo ndiyo mnataka kumpa Lowasanchi kwatamaa alizonazo mpaka mchwa watauzwa humu

Ndio uzuri wa demokrasia ya vyama vingi , ukiwa kapi wanakukata unahamia kingine nako unakuwa double kapi unahamia kingine ukija kumaliza vyote umeisha kuwa super hutakatwa unagombea urais
 
Back
Top Bottom