commonmwananchi
JF-Expert Member
- Mar 12, 2011
- 3,377
- 1,957
HAKUNA CHA USHAHIDI HAPA SIO MAHAKAMANI.Yeye mwenyewe alikwishatamka kuwa amekwishakumuandalia nafasi Edward Lowasa akifukuzwa ccm au akienguliwa kugombea urais kupitia ccm basi batagombea kupitia kwake ACT wasaliti,ebu jaribu kufuatilia ziara hizi.Weka ushahidi wa unachokisema, tunachojua yeye alisema/alitia nia ya kugombea ubunge Kigoma Mjini. Hakuna mahala wala maandishi yanayoonesha kuwa ameteua/ameweka watu wake kugombea nafasi mbalimbali uchaguzi mkuu ujao.
Kinana alikuwa bukoba,zito akawa Tabora,na hii ni baada ya Lowasa kuondoka Tabora,kinana akaondoka Bukoba zitto akaingia bukoba,na kinana alikuwa ameingia bukoba baada ya Lowasa kuondoka pale.
zitto aliweka kambi kigoma mpaka Lowasa na serukamba walipomaliza kazi maalum na kuondoka na ndipo zitto ameanza ziara akimfuata taratibu Lowasa ambapo pia kinana na zitto ni kama wana ajenda ya siri dhidi ya UKAWA.
shame on all of people like ZZK:croc: