Muuza duka

Lumbi9

JF-Expert Member
Oct 12, 2014
8,638
12,061
Katika kupita pita nimekutana na hii

Anatakiwa mdada wa kuuza katika duka la vipodozi, elimu kidato cha 4, miaka 18-30,uwe sharp kuhudumia nk.

Muda ni saa 2-4 usiku kama unakidhi utume msg yenye jina lako unapoishi na umri wako, uitume hapa 0763551728.

NB : Nimeikuta mitandaoni kwa hiyo ukiwasiliana naye atakuelewesha vizuri mimi sio mhusika.
 
Katika kupita pita nimekutana na hii

Anatakiwa mdada wa kuuza katika duka la vipodozi, elimu kidato cha 4, miaka 18-30,uwe sharp kuhudumia nk.

Muda ni saa 2-4 usiku kama unakidhi utume msg yenye jina lako unapoishi na umri wako, uitume hapa ...........

NB : Nimeikuta mitandaoni kwa hiyo ukiwasiliana naye atakuelewesha vizuri mimi sio mhusika.

Mimi ndiye niliyetoa hilo tangazo.
bahati nzuri au mbaya tumesha pata muuza duka mwenye vigezo, na tulisha lifuta hilo tangazo kwenye website tuliyo tangazia. nakuomba na wewe ulifute hapa au uliedit ufute hiyo namba kwani mtu akiona anadhani bado tunahitaji mfanyakazi hivyo tumekuwa tukipokea simu nyingi za kuulizia hiyo kazi wakati tayari tumeshampata hivyo inapelekea kuleta usumbufu mkubwa sana. asante.
 
Mdada saa mbili mpaka saa nne? Ulipata Muuza duka au Mke? hahahaha!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom