Zzk Hana Hadhi Ya Kukaa Jukwaa Moja Na Dr Slaa, Kwanza Sijaelewa Maada Kuu Ya Huo Mdahalo Nini Kitazungumzwa Kwasababu Wamewaleta Watu Wasioeendana, Ingekuwa Ni Ukawa Sawa Lakini Zzk Si Ukawa Alafu Slaa Hajapitishwa Na Chama Kugombea, Na Kama Ni Kuzungumzia Masuala Ya Vyama Vyao Kwanini Ni Dr Slaa Na Asiwe Mbowe? Binafs Namshauli Dr Asihudhulie Mdahalo Huo Kwani Ni Wa Kitoto, Zaid Ajiandae Na Midahalo Miwili Huko Mbele, Mmoja Ni Wagombea Wa Ukawa Yaani Chadema, Cuf, Nccr Na Nld, Pili Ajiandae Na Mdahalo Yeye Na Mgombea Wa Ccm, Lakini Huu Sijaona Mantiki Yake.