China wameshidwa ujamaa

China wameshidwa ujamaa

ujamaa ni haki sawa kwa wote,ni furusa sawa kwa wote

Sasa kama ujamaa ni haki sawa kwa wote na fursa sawa kwa wote basi maana yake

Marekani, Uingereza, Ufaransa, na Ujerumani ni wajamaa maana wanavifuata hivyo vigezo

Korea Kaskazini basi sio wajamaa maana hivyo vigezo huko havipo.

USHAURI:Usilete mada kama huijui mada yenyewe, huu ni mfano kuwa ujamaa unaosema unaupinga huufahamu ni kitu gani
 
due to x-stics za ujamaa duniani hakuna nchi yoyote ambayo ni pure socialist

Na hakuna nchi yeyote duniani ambayo ni ubepari 100%.

Ata Marekani wanafuata na wanaendelea kupigania kuwepo kwa ement zaidi za kijamaa kwenye nchi yao.

Mfano obamacare, huduma za afya kusimamiwa na serikali.

Serikali kupanga kiwango mpaka kiwango cha mshahara, Obama na Hillary Clinton wanapigania hili.

Hizi sio concept za kibepari, ni za kijamaa.
 
Navyoelewa ujamaa niwachache kunafaika na keki ya taifa km wanavyofanya ccm.wanarithishana uongozi mpka kwa wajukuu.

Basi huujui ujamaa, topic hii hujaielewa.

Topic haieleweki, na huna haki ya kupinga wala kukubali kuhusu ujamaa kwa sababu hujui ata huo ujamaa ni nini.
 
na pia haipo ambayo ni pure capitalist,lakin tunaweza kusema hii nchi n ya kicapitalist au kisocialist kwa kuangalia ina features nyingi za upande gani socialism or capitalism

Aksante, sikuliona jibu lako before!otherwise ulishamaliza.
 
VP MKUU MBONA UMECHEKA? EMBU NIPE LIKE.NIMEPATIA KM NI ALAMA NI A+.ww unafikiri kuna ujamaa dunia hi ya leo?china rusia cuba wote chali.wamebaki n korea na wao hoi bin taaban.huu wa kwetu ujamaa uchwara wa ccm umemaliza rasimali ya taifa na taifa lipo hoi.ona tulivyopigwa bao najirani zetu kenya sbb ya ujamaa uchwara alioshndwa nyerere kwa zaidi ya miaka 20 leo hi kuna mijitu km zzk wanadanganya uma kwa ujamaa uliofeli dunia nzma.

Ndugu yangu una F.

Upo nje ya point, hujui ata msingi wa hoja, ujamaa ni nin?
 
VP MKUU MBONA UMECHEKA? EMBU NIPE LIKE.NIMEPATIA KM NI ALAMA NI A+.ww unafikiri kuna ujamaa dunia hi ya leo?china rusia cuba wote chali.wamebaki n korea na wao hoi bin taaban.huu wa kwetu ujamaa uchwara wa ccm umemaliza rasimali ya taifa na taifa lipo hoi.ona tulivyopigwa bao najirani zetu kenya sbb ya ujamaa uchwara alioshndwa nyerere kwa zaidi ya miaka 20 leo hi kuna mijitu km zzk wanadanganya uma kwa ujamaa uliofeli dunia nzma.
Unajua kama hizi nchi ni wajamaa.

Scandinavian Socialism?
 
Hivi unajua ujamaa ni nini kwa faida ya Wanaukumbi tufahamishe ujamaa nini?

Ujamaa acording to Kar Max kwa sasa ni kama haupo, make Kar Max, Kumbuka nchi kama Russia ambao ndo walikuwa kioongozi wa Ujamaa Duniani kwa sasa hipo tena, China kwa sasa ni full rushwa na wanachi wananyang'anywa aridhi yao wanapewa wawekezaji wakubwa wa Kichina na wageni. CUBA anaelekea kushindwa
 
Unajua kama hizi nchi ni wajamaa.

Scandinavian Socialism?

Socialism kama alivyo Define KAR MAX ni kama haipo tena hizo zingine ni Definition za kisanii tu mkuu tunazungumzia real Socialism, acha zilizo buniwa na watu
 
Ujamaa acording to Kar Max kwa sasa ni kama haupo, make Kar Max, Kumbuka nchi kama Russia ambao ndo walikuwa kioongozi wa Ujamaa Duniani kwa sasa hipo tena, China kwa sasa ni full rushwa na wanachi wananyang'anywa aridhi yao wanapewa wawekezaji wakubwa wa Kichina na wageni. CUBA anaelekea kushindwa
Naona unachanganya Socialism na Communists nani kakwambia ili uwe mjamaa lazima umfuate Karl Max?
 
Ritz unabishana na vihiyo wasiojua hata wanachokizungumza hebu wajaribu kutuambia ujamaa ni nini kwanza? Vyama vyao vilikuja na Ilani inayosema elimu bure je hawakujua kama hiyo ni sifa mojawapo ya ujamaa ambayo iliwavutia wengi na wakapata kura?
Kajifunzeni mfahamu ujamaa ni nini? xstic za ujamaa ndio mrudi hapa ila angalizo ujamaa unaotangazwa na hao ni ujamaa wa kidemokrasia (social democrats )
 
Last edited by a moderator:

Mimi tena ananiuliza ujamaa nini?Msaidie mleta mada anaseama China ujamaa umewashinda jamaa mbishi sana

Yeye ndiyo hatuambie lini ujamaa uliwashinda China?

Mimi nimewapa mifano michache sijui kama wameipitia wao wanabishia tu

Kwani ujamaa mpaka uwe wa Karl Max? watu wanaishi kijamaa kabla Karl Max hajazaliwa Kar Max kazaliwa 1843 kwa hii dunia wala siyo mbali.
 
Last edited by a moderator:
ukitaka kujua ujamaa vizuri tafuta hutuba ya mwalimu nyerere mwenyewe,mwalimu alisema tanzania sio kisiwa kwa hiyo lazima tuendane na wenzetu wanavyoenda na hapa alimanisha lzm tuwe na soko huria
ujamaa una maana pana sana tofauti na hawa wanasiasa uchwara wanavyouelezea,nikianza kuelesea siasa za ujamaa inahitaji ufafanuzi zaidi ya wiki moja na zaidi kwa kuwa lazima uguse siasa uchumi na mambo mengine mengi sana
 
Sasa kama ujamaa ni haki sawa kwa wote na fursa sawa kwa wote basi maana yake

Marekani, Uingereza, Ufaransa, na Ujerumani ni wajamaa maana wanavifuata hivyo vigezo

Korea Kaskazini basi sio wajamaa maana hivyo vigezo huko havipo.

USHAURI:Usilete mada kama huijui mada yenyewe, huu ni mfano kuwa ujamaa unaosema unaupinga huufahamu ni kitu gani

hata katiba ya ccm ya mwaka 77 imeweka wazi kuwa tanzania ni nchi ya kijamaa je unamini ni kweli tanzania ni nchi ya kijamaa?
 
Tapeli mmoja anatumia ujamaa kutapelia

Huyu jamaa hajitambui. Nadhali alikuwa mdogo sana wakati wa mfumo wa ujamaa ulioanzishwa na Nyerere. Nadhani hata haja-practice mfumo huo ameusoma tu kwenye vitabu, sasa anataka kuwadanganya watanzania. Kwanza kwa nchi yetu, na katiba yetu ilivyo huo ujamaa hauwezi kutuletea tija. Concept ya Nyerere kuhusu ujamaa ilikuwa nzuri. Tuliona vijiji vya ujamaa vilianzishwa, mashamba ya ushirika yakaanzishwa pia lakini je, yalikuwa na mafanikio yoyote??? jibu ni hakuna. Kwanza pamoja na kwamba leo lilikuwa kuwepo na usawa kwa kila mtanzania, lakini bado haikuwezekana kwani baadhi ya viongozi waliokuwepo madarakani walitumia nafasi zao kujineemesha. (Mwambieni asome animal farm by Gorge Orwell) anaelewa kuwa ujamaa hauwezekani katika jamii yoyote ile. Kwa hiyo asitumie ujinga wa watanzania kutaka kuwatapeli kuwa ujamaa una maana. Kama mataifa yaliyokuwa na nguvu za kiuchumi kama vile Russia (soviet union), China n.k . Kama Tanzania tulijaribu na tulishindwa huko nyuma, leo tutauweza vipi ujamaa??
 
Hivi unajua ujamaa ni nini kwa faida ya Wanaukumbi tufahamishe ujamaa nini?

Ujamaa kwa kifupi ni wengi wasiofanya kazi kwa ustadi wa hali ya juu kugawana utajiri unaotokana na wachache wanaojituma na kufanya kazi kwa ustandi wa hali ya juu.

Eee Mwenyezi Mungu naomba utuepushie huyu ZITTO KABWELA anayetaka kuturudisha kwenye hizi zama za ujamaa
 
hata katiba ya ccm ya mwaka 77 imeweka wazi kuwa tanzania ni nchi ya kijamaa je unamini ni kweli tanzania ni nchi ya kijamaa?

Ujamaa ni nin?soma kwanza hili ulijue ndio unaweza kurudi kwenye mada.Kama huujui ujamaa ni nin basi huna uwezo wa kujadili juu ya mada hii.
 
Ujamaa kwa kifupi ni wengi wasiofanya kazi kwa ustadi wa hali ya juu kugawana utajiri unaotokana na wachache wanaojituma na kufanya kazi kwa ustandi wa hali ya juu.

Eee Mwenyezi Mungu naomba utuepushie huyu ZITTO KABWELA anayetaka kuturudisha kwenye hizi zama za ujamaa

Hiyo definition umeipata wapi?naomba reference tafadhari maana ni jambo geni hili, sikuwahi kuliona kabla.

Yawezekana nawe ni mvumbuzi mpya wa dhana ya uzalishaji mali!!

Nakumbuka nikiwa shule tulikuwa na African Socialism-Uganda, Communism, Scientific Socialism-Karl Max, Ujamaa wa Azimio la Arusha-Nyerere, na kuna ujamaa wa ndotoni aka Utopian Socialism.

Sasa huo ujamaa wako umeutoa wapi?mpaka sasa hakuna nchi yeyote duniani iliyowahi kuufanya huo ujamaa wako.
 
mm kawa ufahamu wangu mdogo niliyo nao tanzania tunahitaji nchi ya aina gani ?warioba alishamaliza kazi, kwa wananchi kusema wenyewe ni nchi ya aina gani wanataka,na sio wanasia kama zito kabwe aje amuwe nchi iwe ya kijamaa,ndio maana naona mafanikio makubwa sana ya ukawa kwa kuwa wao kipaumbele chao cha kwanza ni kusimamia moni ya wananchi yalioko kwenye rasm ya warioba
 
na pia haipo ambayo ni pure capitalist,lakin tunaweza kusema hii nchi n ya kicapitalist au kisocialist kwa kuangalia ina features nyingi za upande gani socialism or capitalism

hiyo ni tabia iliyojengeka ambayo pia sio defn sahihi sana kwani zinapaswa kuitwa mixed economy country's kutokana na xstics za mixed economy
 
Back
Top Bottom