Lakini inategemea anafanya hivyo kwa kusudio gani. Angalia, Shwaznegar alikuwa Seneta wa state mojawapo Marekani, lakini aliendelea kucheza Filamu zake kama kawaida. Hata Mr George Bush.Junior akiwa President wa Marekani, alicheza Filamu moja hive ya " Attempt to Kill the President". Nae ni...