Kweli dunia imeisha | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kweli dunia imeisha

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by chen, May 8, 2012.

 1. c

  chen Member

  #1
  May 8, 2012
  Joined: Feb 12, 2012
  Messages: 63
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  nusu saa iliyopita nikiwa na rafiki yangu maeneo ya magomeni makuti kumetokea tokio ambalo limeniacha mdomo wazi.Ni kijana smart umri 20-25 moja kwa moja alimfuata rafiki yangu na kumpapasa kifuani huku akimwambia amempenda anataka akamnaniliu na atamlipa, dah hapa tulipo nguvu zimetuishia kabisa
   
 2. mkonowapaka

  mkonowapaka JF-Expert Member

  #2
  May 8, 2012
  Joined: Feb 19, 2010
  Messages: 1,483
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  sasa kama dunia imekwisha cha ajabu apo nini....
   
 3. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #3
  May 8, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Dunia imeisha ila binadamu bado mpo!!
   
 4. miss linga

  miss linga Member

  #4
  May 8, 2012
  Joined: Apr 4, 2012
  Messages: 17
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kazi kweli kweli jamani, tunaelekea wapi wanadamu jamani?
   
 5. K

  Kifulambute JF-Expert Member

  #5
  May 8, 2012
  Joined: May 8, 2011
  Messages: 2,509
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  wala asingeshangaa angetoa huduma kwanza ashangae kama jamaa atapiga mzigo
   
 6. Nzowa Godat

  Nzowa Godat JF-Expert Member

  #6
  May 8, 2012
  Joined: Jun 15, 2011
  Messages: 2,630
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  Sijaona cha ajabu hapo mimi, mtu anaomba mzigo badala ya kumhudumia, unapigwa pumbuwazi!
   
 7. c

  chen Member

  #7
  May 8, 2012
  Joined: Feb 12, 2012
  Messages: 63
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  afanyae na afwanywae wote adhabu moja,tumkumbukeni mwenyezi mungu wajameni
   
 8. K

  Kifulambute JF-Expert Member

  #8
  May 8, 2012
  Joined: May 8, 2011
  Messages: 2,509
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  aombae na atapewa na abishae hodi atafunguliwa
   
 9. Edward Teller

  Edward Teller JF-Expert Member

  #9
  May 8, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 3,818
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  mbona wapo wengi tu huku mtaan watu wa mtindo huo=hata hapa JF yupo aliyejitambulisha-nalkumbuka alikuwa anajibu maswali kama kwa wale wenye maswali
   
 10. M

  Mambuchi Member

  #10
  May 8, 2012
  Joined: Jan 24, 2012
  Messages: 44
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ndiyo ajira zenyewe. Mnalalamika hakuna ajira, hajira zinakuja mnaanza kuzikimbia. Wewe hujasikia hawa Dada zetu wanaenda Uchina kuny.... za Waachina na wakirudi wanfungasha makontainer kibao ya bidhaa. Wanaendesha magari ya bei mbaya... Changamkia ajira hizo.
   
 11. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #11
  May 8, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 158,305
  Likes Received: 417,643
  Trophy Points: 280
  chen mlishindwa nini kumkemea....................kimya chenu kinaonyesha mliifurahia hiyo khali..........
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 12. Jestina

  Jestina JF-Expert Member

  #12
  May 8, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 4,806
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  ungemnasua kibao,next time angejiuliza mara mbili kumfata mtu.....:sleepy:
   
 13. m

  mhondo JF-Expert Member

  #13
  May 8, 2012
  Joined: Apr 23, 2011
  Messages: 970
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 45
  Hakuna jambo jipya chini ya jua. Nukuu kutoka kitabu cha mhubiri kwenye Biblia.
   
 14. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #14
  May 8, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 302
  Trophy Points: 160
  Ha ha ha ha Jestina, nimependa ushauri wako.

   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 15. BONGOLALA

  BONGOLALA JF-Expert Member

  #15
  May 8, 2012
  Joined: Sep 14, 2009
  Messages: 13,784
  Likes Received: 2,393
  Trophy Points: 280
  Magomeni kuna m.a.s.h.o.g.a balaa!hapafai kwenda na mzazi wako maeneo yale, utajisikia kinyaa
   
Loading...