shida si ulokole , shida ni hilo dhehebu analosali, kunamadhehebu mengi sana ya kipepo siku hizi yanayotumia nguvu za giza,huwezi kuamini jinsi wanavyocheza na akili za watu.
Jua kwamba ufahamu wa mkeo ulishatekwa siku nyingi, cha msingi ni wewe ungepiga goti umlilie Mungu ufahamu wake urudi...