Jallen
JF-Expert Member
- Mar 31, 2012
- 517
- 196
Hawa wakuu wa Mikoa wawili Mh. Anthony Mtaka na Aggrey Mwanri wanafaa kupewa mkoa wa Dar.
Mh Mtaka anafaa sana. Namwona kama kijana mbunifu sana na mwenye busara katika utendaji wake.
Kwa upande wa Mwanri ni mfuatiliaji mzuri sana wa kazi ni mwajibikaji sana ila kanda anayotoka itamnyima mambo mengi.