Maxence Melo: Neno la shukrani kwa wote

Maxence Melo: Neno la shukrani kwa wote

Penye haki ukweli hujitenga na kama ilivyo sheria ni vigumu kuioindisha hasa ikiwa iko ndani ya karatasi.
Tuko pamoja kwani Mungu ni mwema.
Ahsante sana
 
Pole sana Max, ni vema kuelewa kuwa uhuru wa kupata habari wapaswa kupiganiwa na kila mtu awayeyote bila hata kujali anatoka pande gani za dunia. Martin Luther King Jnr alisema 'Injustice Anywhere is a threat to Justice Everywhere'!!
 
Back
Top Bottom