It happens a lot, hasa kwetu sisi wanawake. Anyway, ungekuwa kwenye mashirika ni rahisi kuacha kazi na kutafuta kungine; lkn serikalini kuacha mafao yako because of that. Kama unaweza kwenda wizarani (adm) ukawaeleza matatizo yako na chanzo chake (ingawa ni ngumu kwa mwanamume kuaminika ktk hili) wangekusaidia kukupa uhamisho. You did a brave thing in Mwanza, wewe ndio unastahili kuitwa MWANAUME. Cheers!
It happens a lot, hasa kwetu sisi wanawake. Anyway, ungekuwa kwenye mashirika ni rahisi kuacha kazi na kutafuta kungine; lkn serikalini kuacha mafao yako because of that. Kama unaweza kwenda wizarani (adm) ukawaeleza matatizo yako na chanzo chake (ingawa ni ngumu kwa mwanamume kuaminika ktk hili) wangekusaidia kukupa uhamisho. You did a brave thing in Mwanza, wewe ndio unastahili kuitwa MWANAUME. Cheers!
Sio mbaya kama ni jambo la kweli, ili mtu ajua anamkwaza mwenzieJf ushauri mtapata lakini wazo langu hasa nyie ambao mnapata matatizo kwenye kazi zenu!! Kuweni makini huandishi wenu,cio ueleze A-z,coz yawezekana huyo unayemsema kumbe ni member humu jf,!!,,
Omba uhamisho hapo fasta...mbona Serikalini kila mahali ni ofisi kaka?
Hongera sana kwa maamuzi yako ya kushinda tamaa za kimwili...Ni wachache tu wanaweza kufanya ulivyofanya. BIG UP!
Jf ushauri mtapata lakini wazo langu hasa nyie ambao mnapata matatizo kwenye kazi zenu!! Kuweni makini huandishi wenu,cio ueleze A-z,coz yawezekana huyo unayemsema kumbe ni member humu jf,!!,,
duuuu cjawah öna mdada analazimishwa kupewa dushelele kinguvu.
Ki ukweli ingekuwa ndo mimi,
sijui kama ningemuacha huyo dada hata kama sio edibo!!!!!!
ajilengeshe mwenyewe nimuache!!!!mmmmh sijiamini kwa hilo kwa kweli.
Hata mie nitajisikia aibu sana mwanamke kujilengesha alaf nimchekeeeeeee tu !!!!!!!
TUPO TOFAUTI SANA, vip ww ungeacha kumtafuna kweli hata zile za kijeshjeshi?
Mkuu sidhani kwamba Uhamisho wa kituo cha kazi ndio suluhisho, unaweza hamishiwa pengine penye matatizo zaidi ya hapo ulipo. Tatizo halikimbiwi, pambana nalo ukiwa humo humo, cha msingi ushasoma udhaifu wa hao wanaokupiga vita, wewe jitahidi ufanye kazi zako kwa mujibu wa taratibu zilizopo hapo, usilikoroge ili kuepuka kuangukiwa na jumba bovu.
Hongera kwa Ujasiri, pambana humo humo
HV kumbe sisi wengine si wanaume eti eh!!!. Dada umekwenda mbali pls jaribuni kutuheshimu. HV kama sisi wanaume ndo tungekuwa tunajipanga barabarani usiku na kuonyesha breast na kuwa nusu uchi kuvuta wanawake si mngekuwa mmefuta kabisa hili jina mwanaume.
Sisi Mungu ametupa akili na hekima ya uchambuzi hatuwezi kutumia tabia chafu tena binafsi ya machangudoa kuwaita kwa ku generalize kuwa ninyi si wanawake ila ninyi mnafanya hivyo kwa wanaume. Kama uli mess up na mchumba wako ukaachwa usiwe na NEGATIVE ATTITUDE KUBWA HIVYO kwa wanaume kwani bado kuna asilimia karibu 70 ya wanaume wanajiheshimu pamoja na ndoa zao
Committement Mkuu, ukijicommitte kama hata akivua nguo mbele yako dushelele halisimami isipokuwa kwa mke tu inawezekana.
hilo nalo la kuzingatia maana jamaa kafunguka kila kituJf ushauri mtapata lakini wazo langu hasa nyie ambao mnapata matatizo kwenye kazi zenu!! Kuweni makini huandishi wenu,cio ueleze A-z,coz yawezekana huyo unayemsema kumbe ni member humu jf,!!,,