Asprin
Platinum Member
- Mar 8, 2008
- 68,302
- 96,517
.mrudishe kwao . .
Wife.......!!!
.mrudishe kwao . .
wakati wa uchumba mara nyingi hakupenda kulala kwangu.nikajua ni binti anaejieshimu na kuutunza usichana wake..That good!
mara nyingi alipenda kuja weekend mapemaaa na kushinda siku nzima....na usiku nililazimika kumrudisha kwao.hatukua mbali saana!
nikatangaza ndoa,tukaoana akiwa mjamzito.!!...tabu ikaanzia hapo!!mama usiku hatulii utadhani anakimbizwa..
miguu inarushwa mithili ya leba...;mara umkute kanilalia;mara miguu yote ipo juu yangu;mara mikono nimezibwa kupumua..nikajiuliza ana pepo au? ebu nisaidieni kuna dawa ya hii makitu?am so down jamani..ukimuangalia day time kalivyo descent and so loving mama huwez amini usiku anavyojiachia.....akiamka kachokaaa>>,,,niliwahi kumwambia kwa upole ila ndio kilema chake....nifanyeje wapendwaa...........
story hii ya ukweli ni kwa niaba ya jama yangu mmoja jirani yangu!!
gawa dozi kamili kaka kabla ya kulala kwa mtoto huyo uone kama atazingua wakati wa kulala....Mpe kitu 120 mpeleke na penati tano tano akilala full maumivu uone kama atarukaruka hovyo kama popo kitandaniwakati wa uchumba mara nyingi hakupenda kulala kwangu.nikajua ni binti anaejieshimu na kuutunza usichana wake..That good!
mara nyingi alipenda kuja weekend mapemaaa na kushinda siku nzima....na usiku nililazimika kumrudisha kwao.hatukua mbali saana!
nikatangaza ndoa,tukaoana akiwa mjamzito.!!...tabu ikaanzia hapo!!mama usiku hatulii utadhani anakimbizwa..
miguu inarushwa mithili ya leba...;mara umkute kanilalia;mara miguu yote ipo juu yangu;mara mikono nimezibwa kupumua..nikajiuliza ana pepo au? ebu nisaidieni kuna dawa ya hii makitu?am so down jamani..ukimuangalia day time kalivyo descent and so loving mama huwez amini usiku anavyojiachia.....akiamka kachokaaa>>,,,niliwahi kumwambia kwa upole ila ndio kilema chake....nifanyeje wapendwaa...........
story hii ya ukweli ni kwa niaba ya jama yangu mmoja jirani yangu!!
dah mm nataka mke kama huyo ... Haha raha sana.
In serious natania bana kwani nampenda sana shori wangu.
Ila hapo sioni kero yoyote anayokupa , nakushauri tu ununue kitanda kikubwa sita kwa mia
JF raha bana....asikwambie mtu....vp Tanga utakuja....?
wakati wa uchumba mara nyingi hakupenda kulala kwangu.nikajua ni binti anaejieshimu na kuutunza usichana wake..That good!
mara nyingi alipenda kuja weekend mapemaaa na kushinda siku nzima....na usiku nililazimika kumrudisha kwao.hatukua mbali saana!
nikatangaza ndoa,tukaoana akiwa mjamzito.!!...tabu ikaanzia hapo!!mama usiku hatulii utadhani anakimbizwa..
miguu inarushwa mithili ya leba...;mara umkute kanilalia;mara miguu yote ipo juu yangu;mara mikono nimezibwa kupumua..nikajiuliza ana pepo au? ebu nisaidieni kuna dawa ya hii makitu?am so down jamani..ukimuangalia day time kalivyo descent and so loving mama huwez amini usiku anavyojiachia.....akiamka kachokaaa>>,,,niliwahi kumwambia kwa upole ila ndio kilema chake....nifanyeje wapendwaa...........
story hii ya ukweli ni kwa niaba ya jama yangu mmoja jirani yangu!!
Piga picha uzilete hapa-hapa halafu tutakupa ushauri wa kina, tunataka tuone huo mlalo ili tu analaizi kwa kina.
Then what . . . . . . . . . . .??
Piga picha uzilete hapa-hapa halafu tutakupa ushauri wa kina, tunataka tuone huo mlalo ili tu analaizi kwa kina.
Jamani kuna haja ya kurudisha jando na unyago! siri za vyumbani watu wanazitangaza public!! tuna matatizo gani hiki kizazi chetu?
Dah! Nashindwa kucheka maana mi mwenyewe sijui nalala vizuri au la!
Lala na kiboko atatengamaa tu