Recent content by mamajj3

  1. M

    JamiiForums Tanzania Maaskofu wengine wangekuwa kama Gwajima nchi hii ingepona

    nimecheka sana .... kweli jamii forum ni habari nyingine.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Waziri Lukuvi kupewa tuzo ya uwajibikaji na viongozi wa dini

    naungana na wewe kiasi fulani. hata huduma pale wizarani ni nzuri ,mimi binafsi nimezipenda. nilifwatilia hati yangu pale bila kujuwa kuwa kilawilaya ina siku yake. basi nilienda siku ya wilaya yangu na nikapata bila longo longo na sikutoa hata shilingi.
  3. M

    JamiiForums Tanzania TANZIA: Anayedaiwa kuchora Nembo ya Taifa, Mzee Francis Kanyasu(Ngosha) afariki dunia

    na mimi nimehisi hivyo. wangemwacha na mazingira yake, pengine angekuwa hai mpaka leo.
  4. M

    JamiiForums Tanzania TANZIA: Ivan Ssemwanga (ex wa Zari) amefariki dunia usiku huu

    Ameni well said. thank you.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Naamini, Mrithi wa Kinana akiwa Dr. Bashiru Ally, CCM itakuwa imara

    :D:D:D:D:D:D:D:D
  6. M

    JamiiForums Tanzania Usidharau biashara za kifamilia wakati zimekulea!

    wa hindi na waarabu pia wanafanya vizuri kwenye hizi biashara za familia. ina leta upendo pia kwa ndugu.
  7. M

    JamiiForums Tanzania Marekani yaionya Tanzania

    yah.. ni kweli nimesikia hata mimi kwenye taarifa ya habari mchana huu.
  8. M

    JamiiForums Tanzania Ipi inalipa kati ya Reustarant na M Pesa?

    Humu ndani nawapendea kitu kimoja......kwenye mambo ya maana kama haya mnatoa ushauri mzuri sana na wengine tuna jifunza humu humu... ila mkiamua siku nyingine mna mpa mtu za usoo....
  9. M

    JamiiForums Tanzania Viwanja(Plots) vinauzwa

    :D:D:D:D:D:D:D:D:D:D
  10. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mchumba anahitajika

    umenichekesha. na hiyo picha yako ndio kabisa....huo mdomo..
  11. M

    JamiiForums Tanzania Flora Mbasha kufunga ndoa wiki ijayo

    nimeipenda hii.....:D:D:D:D:D:D:D:D
  12. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sina bahati ya kupata mwanaume mwenye kipato, tatizo ni nini?

    umemshauri vizuri . ki ukweli hakuna mtu anayependa umasikini au shida. Mshirikishe Mwenyezi Mungu atakuonyesha njia. Na akisha kubariki uutumie utajiri huo kwa kumtukuza yeye na sio kunyanyasa wengine.
  13. M

    JamiiForums Tanzania Bongo Movie rekebisheni yafuatayo niangalie movies zenu

    :D:D:D:D:D:D:D:D:D
  14. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kisumu City gallery, Kenya's 3rd city

    ojey, MMMhhhhhhhh.....kuzuri sana.
Back
Top Bottom