Zogoo da khama
JF-Expert Member
- May 20, 2013
- 623
- 582
Viwanja vinauzwa vimebaki 3 kila kimoja ni sqmtr 473.4 vinapatikana kimara mwisho, ni dk 15 toka Morogoro road/ Udart bus stand, gari inafika, umeme na maji vipo karibu.
26 m
u mean 2.6m26 m
ha ha ha.....u mean 2.6m
Basi sawa kwa square meter Tshs 54,923 Kimara Mwisho...ni kweli kama hatuna uwezo tusiingilie ila mkuu mnamo tar 23/02/2017 nimenunua kiwanja huko cha square meter kama 800 kwa 12mHakuna nukta hapo mkuu no 26m maongezi yapo
u mean 2.6m