Recent content by mamafive

  1. mamafive

    JamiiForums Tanzania Riba kwenye Mabenki ni Jipu kubwa sana

    Leo naomba ruhusa yenu nieleze kidogo kuhusu mkopo wa biashara. U apotaka kuchukua mkopp wa biashara zingatia yafuatayo: 1.Uwe na biashara tayari usikope ili kuanzisha biashara. Fanya biashara kwa mtaji wako kwa angalau mwaka mmoja bila mkopo. Hii itakusaidia kujua majira na misimu ya biashara...
  2. mamafive

    JamiiForums Tanzania Riba kwenye Mabenki ni Jipu kubwa sana

    asante! karibu mkuu.
  3. mamafive

    JamiiForums Tanzania Riba kwenye Mabenki ni Jipu kubwa sana

    Yes. Ila hiyoinakuwa ni sera ya bank husika. Kwa mikopo ya biashara wanaofanya reducing balance ni NMB, CRDB,TWIGA hao najua wanafanya hivyo. Na wanaotumua Flat ni TPB NA EQUITY. Bank zingine sina uhakika. kwa mfano Nmb na CRDB ukimaliza mkopo wa biashara kwa mwaka unajikuta umelipia riba...
  4. mamafive

    JamiiForums Tanzania Tujifunze jinsi ya kuandaa Unga wa lishe hadi jinsi ya kuupika uji huu

    kwa kweli wanatuchanganya
  5. mamafive

    JamiiForums Tanzania PM za wadada wengi wa MMU zimejaa meseji za mitongozo

    Tena Haina uhalisia. Wakati mwingine ukitaka kujitongozesha utatongozwa, na ukijiheshimu utaheshimiwa. Kama upo kwenye ndoa au mahusiano imara kujitongozesha sio rahisi labda uwe hujiheshimu.
  6. mamafive

    JamiiForums Tanzania Riba kwenye Mabenki ni Jipu kubwa sana

    pole wikuwa hewani mkuu. Wanaposema flat rate wanamaanisha kuwa, Zile asilimia za riba zinakatwa hizo hizo kwa mkopo mzima, wakati reducing balance kila unapopunguza mkopo na riba inapungua yaani wanakata asilimia za kiasi cha deni lililosalia. mfano : ukikopa milioni moja kwa mwaka mmoja. Na...
  7. mamafive

    JamiiForums Tanzania Kifo cha Andrew Sanga, What is next?

    Haikutangazwa rasmi alikuwa anampatanisha nani na nani japo kuna maneno ya hapa na pale yanasema mdada wa kitanzania na mkaka wa kikenya.
  8. mamafive

    JamiiForums Tanzania Riba kwenye Mabenki ni Jipu kubwa sana

    Nadhani tunakosa elimu ya kutosha juu ya mikopo. Kama utakopa mkopo wa mfanyakazi utakatwa kwa muda mrefu, miaka mitatu hadi sita. na kwenye mkataba unaambiwa kabisa kuwa riba ni asilimia 18 hadi 21 kwa mwaka. Sasa ukipiga kwa miaka uliyochukua ni lazima riba iwe kubwa. Na hapo kuna aina mbili...
  9. mamafive

    JamiiForums Tanzania Uke kutoa harufu kali(Vaginal Odor): Chanzo, dalili na tiba zake

    itakuwa na maambukizi mbalimbali kutokana na maumbile yalivyo. Ukimuona hivyo mshauri aende kwa daktari wa wanawake nina imani ni tatizo linaloweza kutibiwa likapona
  10. mamafive

    JamiiForums Tanzania Mose Iyobo: Mapenzi na Aunty Ezekiel yamenisaidia sana kwenye muziki

    waoane sasa sio zinaa tu
  11. mamafive

    JamiiForums Tanzania Kifo cha Andrew Sanga, What is next?

    Nilikuwa msibani, Ilitangazwa kuwa Andrew lipigwa risasi alipokuwa anajaribu kupatanisha waliokuwa wanagombana. He is a hero. Ameuawa akijaribu kuleta amani. R.I.P Andrew!
  12. mamafive

    JamiiForums Tanzania Je, inawezekana amepata ujauzito?

    kama hayupo kwenye ndoa mshauri aache zinaa. kama hawezi kuacha basi awe anatumia yale manailoni kujikinga na mimba na mengineyo ili aaikose amani.
  13. mamafive

    JamiiForums Tanzania Picha Zinaogofya: Akatwa katwa mapanga baada kutembea na mke wa mtu

    Mimi nadhani Tujipende sana sisi wenyewe kabla ya kupenda wengine kwa kiwango hiki. Yaani mimi mapenzi sintoyaruhusu yanipeleke jela wala ahera. kwenye ndoa wanaingia watu wazima ambao wanapaswa kujua wajibu wao wa kutunza ndoa zao Ila pia unapomfumania mwenzio swali la kwanza jiulize UMEKOSEA...
  14. mamafive

    JamiiForums Tanzania Tujifunze jinsi ya kuandaa Unga wa lishe hadi jinsi ya kuupika uji huu

    Hodi kwenye jukwaa hili. Mimi ufuta huwa nausafisha, kisha nauanika ukishakauka naukaanga kwa moto mdogo na kwa muda mfupi kisha nachanganya na nafaka zingine tayari kwa kusaga. Ila karanga hazishauriwi sana kwa lishe ya mtoto maana hutengeneza fangasi mapema zikiwa zimechanganywa. Mimi...
  15. mamafive

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mtu akisema hana hela, wewe unamuelewaje?

    Hapo alipaswa akupe wewe japo ya kula kwa siku moja tu.....:rolleyes: Just thinking......
Back
Top Bottom