mamafive
Senior Member
- Jan 17, 2016
- 122
- 141
Thanks mkuu. Sijawahi kuchukua mkopo, ila siku nikifanikiwa nitazingatia sana hapo. Thanks once again mkuu.
asante! karibu mkuu.
Thanks mkuu. Sijawahi kuchukua mkopo, ila siku nikifanikiwa nitazingatia sana hapo. Thanks once again mkuu.
dah ishu inakuja kumuelekeza mtu ambaye hana akili ya kubadili msimamo wake lakin ngoja nijaribu hivi.....katika mabank wew ukienda kuweka 20.000 kwenye bank yoyote wao wanaenda kuifanyia biashara hiyo pesa yako na wew umeweka 20.000 yako ukiitaka utaenda kuichukua mda wowote. Pili kama ukikopa pesa bank mfano 5000 ukaenda kufanya biashara yako ya kuuza ice cream na baadae ukapata faida mda ukifika wa kurudisha hiyo 5000 uliyokopa urudishe kama ilivyoBasi nawewe ukinunua mzigo elfu tano uza kwa elfu tano hiyohiyo kama ni mfanyabiashara...maana hujielewi
Umeshindwa hata ku-google?!!! Au ndio ile ya watanzania na kusoma ni paka na panyaAccess nasikia ni Wachina....NFB ndo Makaburu
Tusilaumu mabenki tu bila kuangalia vigezo vinavyotumika kupanga riba.Kwa wale ambao wanahitaji mikopo au wanaofanya shughuli zao kwa kutegemea facilities za Mabenki kwa kweli hili jipu linahitajika kuangaliwa upya.
Kwa hapa nchini ukiangalia Prime Lending Rates kwa kweli zipo juu sana, zinafikia mpaka 30%. Ni watu wachache sana watakaoweza kufanya biashara na kupata faida.
Mikopo mingi hairejesheki, sijui ni kwa namna gani wataalam wa uchumi watasaidia katika hili,, ila maendeleo yatakua magumu kufikika kwa mwananchi wa kawaida, kama mwananchi huyo atakua hana uwezo wa kukopa na kufanya shughuli za maendeleo.
Wengi wa wakopaji unakuta dhamana zao zinaishia kutumika ili kurealize madeni yao kwa mabenki.
Magufuli ana mtihani mwingine kuhakikisha kweli hili linafanyiwa kazi maana ni jipu.
Pole mkuu, suala la mikopo ya mabenki kwa nchi hii ni pasua kichwa, umakini mkubwa sana unatakiwa unaposogelea mikopo ya mabenki hayaNi kweli kabisa lakini hatuna ujanja maana kupata mtaji kwa kilimo ni ngumu sana,duh nilikopa ACCESS Bank hadi namaliza mkopo nikiwa naongea peke yangu barabarani bora NMB na CRDB
ahahahaaaa . . . . . . kweli apa unahitaji kuwa na ujanja hata zaidi ya ushetani huo maana duuh . . . .Hahaha bora crdb wanakula nawewe kwenye mshahara angalau stress zinapungua kidogo ingawa hela za mkopo ni kama zina mashetani. Ili uzifanyie kazi vizuri inabidi ushetani wako uwe zaidi.
ahahahahaaaa . . . .Kuna siku nilimpa faka afisa mikopo wao baada ya kuanza kunipigia nikiwa kwenye sherehe nikamuuliza mbona siku mliyoniwekea mkopo uliingia saa 12jioni je muda huo nilizitoa na kuanza biashara. Mbona nyie siku moja tu mnachonga sana!! Aisee hadi alikata simu
duuuh . . . .mikopo ni soo jamaniKwakuongezea, usiombe ukachelewesha rejesho hata kwa siku moja, zitaanza simu then, utafuatwa mpaka chumbani
daaah . . .hii JF hii . . .W
Walippokkupa ulikuwa umefumba macho. Ukila kubali kuliwa. Hahahahah
Kwa wale ambao wanahitaji mikopo au wanaofanya shughuli zao kwa kutegemea facilities za Mabenki kwa kweli hili jipu linahitajika kuangaliwa upya.
Kwa hapa nchini ukiangalia Prime Lending Rates kwa kweli zipo juu sana, zinafikia mpaka 30%. Ni watu wachache sana watakaoweza kufanya biashara na kupata faida.
Mikopo mingi hairejesheki, sijui ni kwa namna gani wataalam wa uchumi watasaidia katika hili,, ila maendeleo yatakua magumu kufikika kwa mwananchi wa kawaida, kama mwananchi huyo atakua hana uwezo wa kukopa na kufanya shughuli za maendeleo.
Wengi wa wakopaji unakuta dhamana zao zinaishia kutumika ili kurealize madeni yao kwa mabenki.
Magufuli ana mtihani mwingine kuhakikisha kweli hili linafanyiwa kazi maana ni jipu.
http://bongo5.com/benki-kuu-yapungu...ara-ni-neema-kwa-watanzania-wa-chini-03-2018/When stroke talk sense, congratulation! Is anything improved since then Mh alipokabidhiwa nchi?!
Tupe Darasa la mikopo niyaje?
Nadhan ni uelewa mdogo wa wakopaji wengi... Angalieni benki za riba ndogo
bank haikupi mkopo hadi uwe imesecure huo mkopo acha kudanganya watu watumishi wa umma mikopo yao ni non securedTusilaumu mabenki tu bila kuangalia vigezo vinavyotumika kupanga riba.
Kigezo kikubwa ni gharama ya fedha i.e cost of fund.
Benki zinakopesha kutoka kwenye amana za wateja, lkn tz pesa zinazunguka nje ya mfumo wa fedha. Wenye bank accounts ni 15% ya wenye uwezo wa kuwa na akaunti. Kuzitoa fedha katika mfumo usio rasmi ni kazi na gharama kubwa.
Pili, Watz hawatambuliki kirahisi. Hatuna vitambulisho ambavyo ni tracable. Wafanyakazi wanakopeshwa kwa riba nafuu zaidi na bila dhamana kwa sababu ni tracable. Ukimkopesha mfanyabiashara ndogo manzese, unamtrace vp?. Hivyo riba lazma iwe kubwa kufidia risk hiyo kwani uwezekano wa kutompata baada ya kuchua pesa ni mkubwa.
Mi naona BancAbc wamezidi ni wababaishaji mno na Riba ni kubwa ajabu. wanakudanganya ni 19% ila uki calculate inazidi nadhaji ni 25% .Simshauri mtu kukopa huko aiseeBongo hakuna Bank ya Riba ndogo zote mateso tu
Abc Bank haifai ni kilio cha wengi.nina ushahidi kabisa mimi mwenyewe niliwahi kopa milioni tatu nimelipa milioni nne na laki nane kwa miaka miwili. Bado huyo mwenzangu anekopa ni mwezi na nusu sasa hela hajapewa na ameshaanza kukatwa riba. Abc Bank hawafai.Kwa mda gani
Heritage financing company limited ya haha Arusha riba ni 60%Kwa wale ambao wanahitaji mikopo au wanaofanya shughuli zao kwa kutegemea facilities za Mabenki kwa kweli hili jipu linahitajika kuangaliwa upya.
Kwa hapa nchini ukiangalia Prime Lending Rates kwa kweli zipo juu sana, zinafikia mpaka 30%. Ni watu wachache sana watakaoweza kufanya biashara na kupata faida.
Mikopo mingi hairejesheki, sijui ni kwa namna gani wataalam wa uchumi watasaidia katika hili,, ila maendeleo yatakua magumu kufikika kwa mwananchi wa kawaida, kama mwananchi huyo atakua hana uwezo wa kukopa na kufanya shughuli za maendeleo.
Wengi wa wakopaji unakuta dhamana zao zinaishia kutumika ili kurealize madeni yao kwa mabenki.
Magufuli ana mtihani mwingine kuhakikisha kweli hili linafanyiwa kazi maana ni jipu.
ABC Bank riba ni 26%Abc Bank haifai ni kilio cha wengi.nina ushahidi kabisa mimi mwenyewe niliwahi kopa milioni tatu nimelipa milioni nne na laki nane kwa miaka miwili. Bado huyo mwenzangu anekopa ni mwezi na nusu sasa hela hajapewa na ameshaanza kukatwa riba. Abc Bank hawafai.