Mtu akisema hana hela, wewe unamuelewaje?

HABARI ZA MAPUMZIKO WADAU. KUNA JAMBO LINANITATIZA NA NASHINDWA KUMUELEWA HUYU DEMU WANGU. KANIOMBA ELFU 50 NIKAMJIBU MPENZI LEO SINA HELA. MARA INAINGIA SMS IPO KIASI GANI? JAMANI NAOMBA MNISAIDIE IVI MTU AKISEMA HANA HELA WENZANGU MNAMULEWAJE? MAANA NASHINDWA KUMUELEWA HUYU DEMU
Sasa si umjibu
 
hahahaha nimecheka na comment za wana JF, kwani mkuu ulikua huna kweli au umeamua kumchosha tuu?
Kama nimpenzi wako wa kudumu mpe japo kidogo labda umemzowesha kumpa...
 
Acheni hizo kwahiyoo kama huna useme ninazo? Kwani mwanaume anapaswa kuwa na hela muda wote?
Mimi aisee mwanamke akiniomba hela huwa sisemi sina nampaaa tu.....

Sent from my HUAWEI Y530-U00 using JamiiForums mobile app
 
Wakati niko mdogo nilifundishwa kamimbishwa haka.... kuomba omba kubaya sana... kuomba omba kubaya sanaa ........ kufanya kazi kuzuri sana .....kufanya kazi kuzuri sana.....

Tena nikazoeshwa kuomba pale unapohitaji msaada kweli kweli na umehakiki kuwa huwezi kujihudumia au kujigharamia na isiwe mara kwa mara. Na tena nikazoeshwa kuwa kuna muda utaomba msaada wa mtu aidha akupe au akuazime fedha na atakwambia hana ila utaona anaendelea kufanya matumizi kwa kununua vitu. Hapo si kuwa kakunyima ni kuwa pesa aliyonayo hata kama ni milioni akipunguza hata kumi kukupa basi atakuwa kavuruga mtiririko mzima wa matumizi yake.
 
HABARI ZA MAPUMZIKO WADAU. KUNA JAMBO LINANITATIZA NA NASHINDWA KUMUELEWA HUYU DEMU WANGU. KANIOMBA ELFU 50 NIKAMJIBU MPENZI LEO SINA HELA. MARA INAINGIA SMS IPO KIASI GANI? JAMANI NAOMBA MNISAIDIE IVI MTU AKISEMA HANA HELA WENZANGU MNAMULEWAJE? MAANA NASHINDWA KUMUELEWA HUYU DEMU
Hi kadovela...for the fact that u said to her u didnt have it alikuwa hana sababu ya kukuuliza una shilingi ngapi.huyo atakuwa walewale pesa first pole.hamjali mwenzie....mmm
 
HABARI ZA MAPUMZIKO WADAU. KUNA JAMBO LINANITATIZA NA NASHINDWA KUMUELEWA HUYU DEMU WANGU. KANIOMBA ELFU 50 NIKAMJIBU MPENZI LEO SINA HELA. MARA INAINGIA SMS IPO KIASI GANI? JAMANI NAOMBA MNISAIDIE IVI MTU AKISEMA HANA HELA WENZANGU MNAMULEWAJE? MAANA NASHINDWA KUMUELEWA HUYU DEMU
Check it, I grew up a fucking screw up
Got introduced to the game, got a ounce and fucking blew up Chopping rocks overnight. We had to grow dreads to change our description.
Two cops is on the milk box missing
Show they toes you know they got stepped on run from the police picture that, nigga I'm too fat.
That's why I bust back, it don't phase me I'm Swayze celebrate my escape, sold the glock, bought some weight
Laid back, I got some money to make,
motherfucker.
 
Ww unasema ni aibu kwa mwanaume kuombwa hela akasema hana wewe ni ke au me?
 
HABARI ZA MAPUMZIKO WADAU. KUNA JAMBO LINANITATIZA NA NASHINDWA KUMUELEWA HUYU DEMU WANGU. KANIOMBA ELFU 50 NIKAMJIBU MPENZI LEO SINA HELA. MARA INAINGIA SMS IPO KIASI GANI? JAMANI NAOMBA MNISAIDIE IVI MTU AKISEMA HANA HELA WENZANGU MNAMULEWAJE? MAANA NASHINDWA KUMUELEWA HUYU DEMU
kwani mkataba wenu ulikuwa mapenzi na pesa au mapenzi tu au mapenzi na kusaidiana wakati wa shida????? Weka mkataba sasa hivi ni contruct hata kama ni ya kutumia choo cha jirani ni contruct.
 
HABARI ZA MAPUMZIKO WADAU. KUNA JAMBO LINANITATIZA NA NASHINDWA KUMUELEWA HUYU DEMU WANGU. KANIOMBA ELFU 50 NIKAMJIBU MPENZI LEO SINA HELA. MARA INAINGIA SMS IPO KIASI GANI? JAMANI NAOMBA MNISAIDIE IVI MTU AKISEMA HANA HELA WENZANGU MNAMULEWAJE? MAANA NASHINDWA KUMUELEWA HUYU DEMU

Hapo alipaswa akupe wewe japo ya kula kwa siku moja tu.....🙄 Just thinking......
 
mtu anaponiomba hela na nikamwambia sina haina maana sina hela ila hela ya kumpatia ndo sina.
 
Back
Top Bottom