Recent content by Mamadou

  1. M

    CHADEMA Iitishe Maandamano dhidi ya Jeshi la Polisi?

    Tatizo hili naona ni kubwa kwa cdm.Pia hawajui matokeo halisi ya hicho wafanyacho.Haya hata kama cdm wakajua kwa asilimia mia kuwa it is a well planned stratregy to kick their ass,cdm watafanya nini What cdm is prepared to do,say if their party is deregesterd.To me it looks cdm is short of...
  2. M

    Usajili wa wanachama wa tawi jipya la CHADEMA Online

    Naunga mkono.Count me as a Member Jina:Mamadou
  3. M

    Mgomo mkubwa wa wenye vituo vya mafuta 2011!

    Godwine,amini usiamini serikali haiwezi kufanya kitu kwa hawa watu wa Asia na waaarabu.Uchumi wa Tanzania unashikiliwa na hawa watu na watanzania hawaelewi chotechote kwasababu wangejua wasingweza kuruhusu.Hapa wanaserikali yao,bunge lao na kama usemavyo walikutana Royal Palm na Kitakachoamriwa...
  4. M

    Hivi ni nani mshauri wa Rais Kikwete?

    Ni uchambuzi makini.Lakini nani mwenye uamuzi wa mwisho.Na hapo ndipo linakuja suala la tasisi kuwa imara pidi kama Raisi kashauriwa hivi na yeye kwasababu zake hakubali ushauri. Wangombea wote wa uraisi walikuwa na nia na sababu.Daima utendaji wake utaonyesha nia yake hiyo kwa njia...
  5. M

    Clouds FM warusha kisa cha kushtua!!

    Inasikitisha sana lakini hiyo ndiyo picha halisi ya mambo.Na tukio kama hili ndio kimekuwa chazo cha watu kujichukulia sheria.Fikiria angelikuwa mtoto wako-wengi mungelikuwa mumeisha maliza kazi huyo mohamedi yuko ahera. Uongozi hakuna kabisa.Kungelikuwa na uongozi waziri au IGP personally...
  6. M

    Victor Bout na JWTZ, Meremeta na DRC, Mwanza na Mapanki: Connecting the dots!

    Unataka kuwajua?Huwajui.Kwanini usiwajue wakati wanajulikana.Mzee kama wewe usiwajue !Masihara hayo. Uwajue usiwajue haikusaidii mzee. Mbona unafanya kazi nzuri hapa Jamvini walau watu wanatoa munkari wao. Haya mambo pamoja na wenzako hamyawezi kabisa.Watoa hoja wengi naona wanaelekeza lawama...
  7. M

    Tanzania YETU: Je, ni jamii ya vilaza na viongozi wa Kiimla na Ukurupukaji?

    Kijana nimekuamini.Umepatia asilimia mia.Hakuna cha laana .Wapumbavu milioni mia mbili hawawezi kushindana na mtu mmoja mwenye akili kali kama vile ulivyo ukweli kuwa kipofu hawezi kushindana na mwenye macho.
  8. M

    ITV, Mengi to be dealt with soon

    Tusilaumiane.Hawa wahindi noma.Mpaka sasa tumeshashindwa.Kila kitu hapa kwetu cha wahindi. Wahindi ni watu wajanja sana na wasiri sana.Kwa wale wenzangu mlio ugenini au mliowahi kukaa ungenini mtanielewa .Lazima uwe mjaja ili usurvive ugenini.Ee mbona kama wenyenji wakiwa nyanya watapokea amri...
  9. M

    Je, unawajua CROWN AGENTS?

    Watu wengi hawajui kinachoendelea lakini ndio hivyo ilivyo.By the way do you know who really owns this country?It is cool.It beats even the best minds-Nchi ilipata uhuru bila kumwaga damu just because you agreed to their terms.Nafikiri sasa picha kwa mbali inakuja.
  10. M

    Role of Indians in the Tanzanian Economy

    Kwanini manasingizia wahindi wakati tatizo ni la kwetu kwa maana ya watanzania kwa ujumla wetu kupitia uongozi mbaya? Uchambuzi gani huu,tunarudi kulekule.Ukizidiwa kubali umezidiwa nawe tafuta mbinu.Wahindi ni smart kuliko sisi kwasababu wanatutumia sisi wenyewe!They have studied us for...
  11. M

    Kagoda: Ni Rostam

    Sawa Zitto na wengineo wanajua sana kuwa Kagoda ni ya nani na fedha zilikwenda wapi.Kujua sio tataizo.Sawa mmeshajua, sasa je? Acha kudaganya.Wote mnaolijua hili suala hakuna miogoni mwenu ambaye anaweza kufanya kitu.Kama RA ndiye mmiliki au aliyekuwa anachukua hizo hela kwa nini...
  12. M

    Tanzania is proving to be a liability in EA integration

    Tanzania si kenya.Na sasa tumekataa.Wanafikiri ni watanzania wote hatujui kinachoendelea?Tunajua wanachotaka na kwetu hawakipati. Sio kweli kuwa wakenya wanawadharau watanzania ila watanzania wanajidharau wenye na hata kwa mataifa mengine.Na ni serikali ndiyo inayowasaidia hao wageni.Na hii...
  13. M

    Mtihani wa geography wafutwa!!

    Ni kitu kimoja kibaya sana na ambacho nilimweleza Dr Mapunda nilipouona kwa mara ya kwanza mtihani uliovuja 1987.Elimu ni namba moja na bila elimu taifa halipo.Taifa bila elimu ni sawa na upofu.Hutaenda popote mpaka ushikwe mkono.
  14. M

    Role of Indians in the Tanzanian Economy

    Kuna tatizo kubwa miongoni mwa sisi weusi.Na kama muonavyo wahindi na waarabu ndio watawala nchi.Weusi ni watumwa wao.Nenda kila pande ya africa utaona hivyo.Waache hao wahindi wafaidi jasho la mweusi-sasa wafanyeje kama weusi wamemelala-Big up wahindi na waarabu.
  15. M

    Kuna wanajeshi Watanzania Iraq?

    You are vexed beyond control! Kipigo kweli.Nani alimtuma huko si alipenda pesa na labda pesa zenyewe wamekula watu.Kama nijuavyo huko mikataba ya kufanya kazi huko huwekwa wazi kabisa kuwa in very risk area.Mchicha wake ndio unawavuta wengi
Back
Top Bottom