Recent content by Mama muuza

  1. Mama muuza

    Visa vyangu vya mapenzi: Harakati za kusaka mume

    Mwenzangu umetisha! Una 29 halafu mara ya mwisho mlionana chuo miaka 12 iliyopita Udom. Ina maana ulikuwa na miaka 17 mwaka wako wa mwisho? Ulisoma kwa mtaala wa nchi gani nipeleke wanangu niweze ku fast forward maisha. Ntashukuru ukinipa jibu 🙏🏾
  2. Mama muuza

    Msaada wa kitabibu kwa tatizo la vidonda vya tumbo

    Jipige ununue juicer mashine ya maana hata pale game mlimani zipo. Tengeneza juisi ya kabeji kila siku asubuhi na unywe kwa muda siku kumi mpka kumi na nne mfufulizo. Kunywa hiyo juisi saa moja kabla ya kutia kitu kingine tumboni. Binafsi niliteseka na vidonda vya tumbo kwa zaidi ya miaka minne...
  3. Mama muuza

    Msaada: Mke wangu hashiki ujauzito

    Mmefanikiwa mpendwa?? Subira huvuta heri pia.
  4. Mama muuza

    Interviews za Ali Kiba zinaboa; Yeye kwake kila kitu ni "Personal"

    Nadhani Mashoto karibu wote wako hivyo, aidha wasiri sana ama hawasomeki kabisa yani shagalabagala. Ally Kiba hana tofauti na shemeji yangu.
  5. Mama muuza

    Trafiki na ubambikaji wa makosa ya barabarani

    Acha tu rafiki nadhani huko ndio tunakoelekea.
  6. Mama muuza

    Ratiba ya uchanjaji kwa mbwa (vaccination schedule for canine)

    Unapatikana wapi? Je inawezekana kununua hizo chanjo na kwenda kuchanja mbwa wa mashambani huko maporini mwenyewe. Maana nadhani wanaishi kwa kudura za mungu tu.
  7. Mama muuza

    Trafiki na ubambikaji wa makosa ya barabarani

    Tumekamatwa mikumi jana pale kwenye noah ya kukodi. Walikosa kosa wakadai boksi la huduma ya kwanza kumbe kutokuwa nalo ni shida pia.
  8. Mama muuza

    Tanzania Online Content Regulations: Ni kosa kisheria simu, computer kutokuwa na password. Kuendesha Blog lazima ulipie!

    Naomba msaada kwenye luga ya malkia nimetoka nusu kapa vile. Mfano nina page ya bidhaa zangu za mikono facebook na insta nazo natakiwa kulipia hayo mahela?
  9. Mama muuza

    Serengeti: Mume amcharukia mkewe kumzalia watoto wa kike. Aezua paa la nyumba na kumtaka aondoke...

    Kwahiyo hiyo ndio ukaezue paa la mjengo? Haya mambo ya jinsia ya mtoto yako kibaolojia zaidi.
  10. Mama muuza

    Trafiki na ubambikaji wa makosa ya barabarani

    Kuna baadhi yao waelewa lakini japo wengi hutumia nguvu zaidi ya akili.
  11. Mama muuza

    Nimeambiwa nitafariki baada ya miezi 4 kutokana na kansa ya kongosho (pancreatic cancer stage 4)

    Daaaah! Pole sana mdogo wangu, nimekosa hata cha kuandika.
Back
Top Bottom