Ni kitu gani ambacho naweza tumia kufanya nisitoke jasho kwapani?

Kivuruge girl

Kivuruge girl

Senior Member
Joined
Jan 18, 2018
Messages
131
Points
250
Kivuruge girl

Kivuruge girl

Senior Member
Joined Jan 18, 2018
131 250
Habari wakuu,

Naombeni ushauri wenu. Ni kitu gani ambacho naweza tumia kufanya nisitoke jasho kwapani.

Jasho linanifanya nakuwa uncomfortable kiasi kwamba nashindwa kuvaa baadhi ya nguo maana nikianza tu safari, ndani ya dk kumi kwapa linaanza kuloa.

Japo na admit, jasho langu halina harufu na deodorant ninayoumia ni nivea.

Mwenye msaada wa kufanya kwapa lisitoe jasho kabisa.

Natangulisha shukrani.
 
UPOPO

UPOPO

JF-Expert Member
Joined
Dec 17, 2010
Messages
2,256
Points
2,000
UPOPO

UPOPO

JF-Expert Member
Joined Dec 17, 2010
2,256 2,000
Hakikisha kwapa lako Ni Safi,yaani umenyoa nywele zilizoota na kuwa Kama uso.Kisha hakikisha unavaa nguo za cotton.Check Kama una kisukari au Kama una umri kuanzia miaka 40 na Ni mwanamke inaweza ikawa Ni dalili ya menopause.Otherwise jasho huwa linaashiria kina activities nyingi zinaendelea mwilini.Kama jasho halitoi harufu sizani Ni Tatizo kubwa Kama ukizingatia kanuni za afya Kama nilivyokushauri
 
Kivuruge girl

Kivuruge girl

Senior Member
Joined
Jan 18, 2018
Messages
131
Points
250
Kivuruge girl

Kivuruge girl

Senior Member
Joined Jan 18, 2018
131 250
Hakikisha kwapa lako Ni Safi,yaani umenyoa nywele zilizoota na kuwa Kama uso.Kisha hakikisha unavaa nguo za cotton.Check Kama una kisukari au Kama una umri kuanzia miaka 40 na Ni mwanamke inaweza ikawa Ni dalili ya menopause.Otherwise jasho huwa linaashiria kina activities nyingi zinaendelea mwilini.Kama jasho halitoi harufu sizani Ni Tatizo kubwa Kama ukizingatia kanuni za afya Kama nilivyokushauri
Ahsante
 
Nyani Ngabu

Nyani Ngabu

Platinum Member
Joined
May 15, 2006
Messages
83,487
Points
2,000
Nyani Ngabu

Nyani Ngabu

Platinum Member
Joined May 15, 2006
83,487 2,000
Habari wakuu,

Naombeni ushauri wenu. Ni kitu gani ambacho naweza tumia kufanya nisitoke jasho kwapani.

Jasho linanifanya nakuwa uncomfortable kiasi kwamba nashindwa kuvaa baadhi ya nguo maana nikianza tu safari, ndani ya dk kumi kwapa linaanza kuloa.

Japo na admit, jasho langu halina harufu na deodorant ninayoumia ni nivea.

Mwenye msaada wa kufanya kwapa lisitoe jasho kabisa.

Natangulisha shukrani.
Pole.

Tumia ‘Clinical Strength’ antiperspirant deodorant. Neno la msingi hapo ni ‘antiperspirant’. Hizi hupunguza utokwaji wa jasho.

Bofya hapo kwa taarifa zaidi 5 Clinical-Strength Antiperspirants for Your Sweatiest Workouts

Na ukitaka kukomesha kabisa hiyo hali basi tumia pia ‘armpit pads’. Paka antiperspirant deodorant halafu vaa hizo pedi za kwapa.

https://www.walmart.com/ip/Kleinert-s-Ready-Snaps-Onto-Your-Bra-Underarm-Sweat-Pads-1114-Underarm-Protection-For-Short-Sleeves-With-Sweatproof-Barrier/123880192?wmlspartner=wlpa&selectedSellerId=4149&adid=22222222228054700249&wmlspartner=wmtlabs&wl0=&wl1=g&wl2=m&wl3=155669628858&wl4=pla-265644587499&wl5=9010957&wl6=&wl7=&wl8=&wl9=pla&wl10=113728429&wl11=online&wl12=123880192&wl13=&veh=sem
 
Madame S

Madame S

JF-Expert Member
Joined
Mar 4, 2015
Messages
15,084
Points
2,000
Madame S

Madame S

JF-Expert Member
Joined Mar 4, 2015
15,084 2,000
Hata hiyo deodorant ya niver ipo inayokufanya usitoke jasho la kwapa imeandikwa nivea anti perspirant dry confidence plus
 
Kivuruge girl

Kivuruge girl

Senior Member
Joined
Jan 18, 2018
Messages
131
Points
250
Kivuruge girl

Kivuruge girl

Senior Member
Joined Jan 18, 2018
131 250
Ahsante sana my dear, ngoja nifanyie kazi
 
Galore

Galore

JF-Expert Member
Joined
Feb 14, 2015
Messages
253
Points
250
Galore

Galore

JF-Expert Member
Joined Feb 14, 2015
253 250
Tafuta hizi deodorant,huto sweat na zinatoa weusi makwapani...you'll never regret
 
Attachments:

Galore

Galore

JF-Expert Member
Joined
Feb 14, 2015
Messages
253
Points
250
Galore

Galore

JF-Expert Member
Joined Feb 14, 2015
253 250
Zurii House of Beauty Dar free market unapata,ila zina bei kidogo,moja 30,000-35,000
 
M

Mchanya

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2015
Messages
680
Points
1,000
M

Mchanya

JF-Expert Member
Joined Jul 29, 2015
680 1,000
Pia jenga tabia ya kuvaa kitu kingine ndani kabla nguo kuu, mfano aina fulani ya fulana au kiblauzi chenye material ya fulana fulana, maana yake ni kwamba jasho linapotoka linaishia kwenye hiyo 'fulana' kabla kutoka au kusikika nje
 
D

dora

JF-Expert Member
Joined
Jun 5, 2010
Messages
260
Points
225
D

dora

JF-Expert Member
Joined Jun 5, 2010
260 225
Tafuta hizi deodorant,huto sweat na zinatoa weusi makwapani...you'll never regret
Wewe binafsi ulishaitumia? Makwapa yangu yanabadilika rangi sababu ya hizi deodorant, ningependa niijaribu hii iwapo umethibitisha inaondoa weusi. Asante.
 
Lady Ra

Lady Ra

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2014
Messages
832
Points
1,000
Lady Ra

Lady Ra

JF-Expert Member
Joined Mar 23, 2014
832 1,000
Pia jenga tabia ya kuvaa kitu kingine ndani kabla nguo kuu, mfano aina fulani ya fulana au kiblauzi chenye material ya fulana fulana, maana yake ni kwamba jasho linapotoka linaishia kwenye hiyo 'fulana' kabla kutoka au kusikika nje
Dar hii uanze tu kuvaa manguo mawili mawili?
 
Galore

Galore

JF-Expert Member
Joined
Feb 14, 2015
Messages
253
Points
250
Galore

Galore

JF-Expert Member
Joined Feb 14, 2015
253 250
Wewe binafsi ulishaitumia? Makwapa yangu yanabadilika rangi sababu ya hizi deodorant, ningependa niijaribu hii iwapo umethibitisha inaondoa weusi. Asante.
Yes nina kama miaka 2 natumia,inatoa weusi,ila pia zingatia usafi na ikiwezekana kwa matokeo ya haraka uwe unafanya waxing kwapani.
 
Forum statistics

Threads 1,342,663
Members 514,746
Posts 32,759,069
Top