Mimi ni binti wa miaka 22 nikiwa na miaka17 nilianza uhusiano na kaka mmoja jina (kapuni) yeye alikua mbele yangu mwaka mmoja.
Tulidumu katika mapenzi kwa muda sasa tukiwa tumewekeana ahadi nyingi ikiwemo kuja kuoana baadae lakini tukiwa katika safari yetu ya mapenzi alianza kuhitaji kumega...
Kwa upande wangu nilikua napendelea kufungua biashara ya duka la vinywaji vya jumla na rejareja na nimuweke mtu kwaajiri ya kuliendesha pia wazo lingine lilikua ni kufungua duk la tigo pesa na m_pesa lakini mwongozo ndo sina
Awali ya yote habari za asubuhi na poleni na majukumu.
Turudi kwenye pointi, mimi ni mfanyakazi wa serikalini lakini napenda kuingia kwenye ulimwengu wa wajasiriamali so naomba ushauri wa biashara gani naweza kufanya kwa muda wa ziada na mtaji wangu ni milioni 2.
Hope nitapata msaada kutoka kwenu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.