Ushauri: Haamini kama nilimtunzia usichana wake

mama fursa

Member
Jan 7, 2017
16
10
Mimi ni binti wa miaka 22 nikiwa na miaka17 nilianza uhusiano na kaka mmoja jina (kapuni) yeye alikua mbele yangu mwaka mmoja.

Tulidumu katika mapenzi kwa muda sasa tukiwa tumewekeana ahadi nyingi ikiwemo kuja kuoana baadae lakini tukiwa katika safari yetu ya mapenzi alianza kuhitaji kumega tunda lakini mimi sikuwa tayari.
Ushawishi ulizidi na mimi sikuona hiyana coz ni mume wangu mtarajiwa.

Tulipanga siku tukakutana na ndo mwanaume wangu wa kwanza kukutana naye lakini cha kushangaza damu haikutoka na yeye ndo mtu wa kwanza kuutoa usichana wangu.

But kwa muda huo hakuwezi kuongea chochote baada ya kupita wiki moja aliniambia haamini kama nilimtunzia usichana wake lakini nilijitahidi kujitetea bila mafanikio japo ni kweli kabla sijawahi kumfahamu mwanaume yeyote.

Naombeni ushauri wenu please.
 
Ukweli unao mwenyewe ikiwa umemueleza ukweli hajakuamini muache inavyoelekea sio mtu wa kuamini hivyo hata umuapie vipi hawezi kuamini.

Sio bure huyo ana lake.
 
Mapenzi mengine bana utumwa utumwa tu. HHapo anatafuta sababu ya kukuacha. Alishakuchoka kilichokua kinambakiza ni tunda,keshakula kashiba mpaka kusaza.
 
Huyo anatafuta tu sababu ya kukupiga chini,kashakufunua kwahiyo anajua kuwa hauna Jipya tena kwake!
 
>>>Huyu jamaa atakuwa na mpini kama "Chelewa" ina maana imeingia bila kugusa kuta za naniliii..


>>>>Pole sana ..Ukweli siku zote unajitetea wenyewe.. Uongo unatetewa
 
Back
Top Bottom