brave one
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 4,879
- 7,382
Kila mtu anakitu ambacho anakihofia zaidi maishani kwake. Kwa upande wa Ommy Dimpoz anachokihofia zaidi ni kusutwa.
"Kwa maisha ya kawaida naogopa zaidi kusutwa yaani mile neno la huku na huku umegusanisha nyaya" ommy alisema kwenye kipindi cha ngazi kwa ngazi na salama jabir aliongeza" sasa wanakufuata ueleze ilikuwaje hiko ndo kitu naogopa sana.
Najitahidi sana kunyoosha maelezo ninapoongea hata Mtu akienda kusema nipo radhi kusema "ndio uliniambia" kuliko ile uonekane umelipika bomu linaenda kulipuka hiko ndo naogopa".
Ommy dimpoz anafanya poa na wimbo wake na alikiba kajiandae