Recent content by Mam D

  1. M

    JamiiForums Tanzania Utamsaidiaje binti huyu?

    Kweli kuna watu wanafikiri kwa kutumia makalio, hata aibu huoni wenzio wanatoa ushauri wa maana wewe unakazana kuuza mwili kweli wewe mwehu una boa, jichunguze
  2. M

    JamiiForums Tanzania Tamthiliya ya Her mothers daughter

    Ok thanks Sahar, nimemmis sana Celyn
  3. M

    JamiiForums Tanzania Tamthiliya ya Her mothers daughter

    Yaani wanaboa halafu hawatoi taarifa
  4. M

    JamiiForums Tanzania Tamthiliya ya Her mothers daughter

    Mbona imeanza kurushwa muda Sasa? Na leo inaendelea episode ya 38
  5. M

    JamiiForums Tanzania Range rover ya Lady Jaydee

    Heshima kwako dada
  6. M

    JamiiForums Tanzania Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Man u poleni sana
  7. M

    JamiiForums Tanzania Rais Kikwete afanya Mabadiliko katika Baraza la Mawaziri - Jan 19, 2014

    Uwiiii nchemba??????
  8. M

    JamiiForums Tanzania Michelle Obama anapotaka atendewe kama malkia na mumewe

    Naipenda hii couple:thumbup::thumbup:
  9. M

    JamiiForums Tanzania Kujifungua

    Navyojua Mimi ni supu, mtori na uji wenye pilipili manga vinasaidia kukupa maziwa vizuri, japo mi uji wa pilipili manga ulinishinda, but ukiiweza ni mzuri sana
  10. M

    JamiiForums Tanzania Tanzia: Nimempoteza baba mzazi leo mchana Muhimbili Hosp

    Pole sana Mungu awape faraja kipindi hiki kigumu
  11. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Heaven on earth avamiwa na kujeruhiwa vibaya

    Mungu ni mwema, utarudia hali yako, get well soon
  12. M

    JamiiForums Tanzania Anaswa na Madawa ya Kulevya Uwanja wa Ndege Dar

    Ila nao Bado wasichana/wanawake hawakomi tu jamani hao mapapa mkiwakatalia inakuaje khaaa mnatutia aibu sana wasichana wenzetu
  13. M

    JamiiForums Tanzania Tuhuma dhidi ya Zitto kuhongwa magari: Nimrod Mkono akanusha!

    Ila hii siasa ya nchi yetu sijui tunaenda wapi, kila Siku episode mpya
  14. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Inawezekana nikawa sahihi,JF ladies hebu nipeni maksi hapa ....!!!!

    Haahhahha kweli huo mtazamo binafsi ngoja wenyewe wake watoe majibu
  15. M

    JamiiForums Tanzania Mimba miezi 9 week 3 hakuna uchungu nifanyeje

    Ukweli ni kama alivyosema hapo mjumbe kiwi maana huwa ni wiki 40 hadi 42 zikizidi hapo ndo utamuona dr, kwa maana hiyo wewe ni 39, usiwe na wasiwasi, wishing all the best
Back
Top Bottom