Mimba miezi 9 week 3 hakuna uchungu nifanyeje

UWOGA=UMASKINI

JF-Expert Member
Dec 30, 2013
2,364
2,000
zoezi LOLOTE AU CHAKULA CHA KUNIFANYA NIPATE UCHUNGU TAREHE ZA MAKADIRIO NI 28DECEMBA 2O13 HADI 4JANUARI 2O14 MSAADA WA KWELI ACHA MATUSI
 

Vito Andolini

Member
Jun 11, 2013
66
95
Bado usiwe na wasi wasi,, wanasema kuna wiki mbili kutoka siku ya makadirio ambapo hupaswi kuwa na wasi wasi, hivyo baada ya tarehe 11 January kama itakua mambo bado basi wahi clinic.

Kingine nilisikia wanasema,, ukiona umechelewa hivyo TARAJIA kupata mtoto wa KIUME.. sijui kama kuna ukweli
 

Kagalala

JF-Expert Member
Oct 31, 2010
2,404
2,000
Mungu atakusaidia. Be Strong. Sina hujuzi katika hili ila nikuombee Mungu akupe mtoto mwenye afya nzuri na akue vizuri
 

Kiwi

JF-Expert Member
Sep 30, 2009
1,053
2,000
zoezi LOLOTE AU CHAKULA CHA KUNIFANYA NIPATE UCHUNGU TAREHE ZA MAKADIRIO NI 28DECEMBA 2O13 HADI 4JANUARI 2O14 MSAADA WA KWELI ACHA MATUSI

Bado hujachelewa, tarehe ya makadirio inakuwa +/- wiki mbili. Usiwe na wasiwasi utapata mtoto salama. Mazoezi madogo madogo kama unaweza kutembea kidogo kunyoosha miguu ni muhimu. Usifunge safari ndefu, zunguka tu karibu na nyumba unyoishi usijichoshe, bali inasaidia kuteremsha mtoto. Mungu Atakusaidia usiwe na hofu, hakuna ujuzi hili ni jambo la kawaida tangu enzi na enzi. Muda ukifika mtoto atazaliwa tu, jipe moyo!
 

Nivea

JF-Expert Member
May 21, 2012
7,458
2,000
zoezi lolote au chakula cha kunifanya nipate uchungu tarehe za makadirio ni 28decemba 2o13 hadi 4januari 2o14 msaada wa kweli acha matusi
@uwoga = umaskini

yaani hata tarehe za makadirio hazitapitiliza unaanza uliza dawa .kuzaliwa kwa mtoto hakuna mtu anayejua unaweza kuta hayo makadirio yako bado 9months hazijafika! Unalazimisha unajua ukuaji wake wewe tulia kimya mwombe mungu ujifungue salama hilo ndio la msingi ndugu makadirio si lazima iwe hivyo sanbabu hata wanaokadiria hawakuwepo siuku na wakati mkinaniliu kupata huo ujauzito!mwombe mungu acha mchecheto safari ndio bado mbichi hiyo
 

Mam D

Member
Nov 27, 2013
31
0
Ukweli ni kama alivyosema hapo mjumbe kiwi maana huwa ni wiki 40 hadi 42 zikizidi hapo ndo utamuona dr, kwa maana hiyo wewe ni 39, usiwe na wasiwasi, wishing all the best
 

papason

JF-Expert Member
Sep 14, 2010
3,787
2,000
Ohooo usidanganyike wee wahi kwenye kwenye kisu ( operation) tuuu, hospitali ya Aga Khan ni watalaam waliobobea kwenye masuala ya visu!
 

Money Stunna

JF-Expert Member
Aug 9, 2011
13,070
2,000
Wai hospital utachomwa sindano ya uchungu ujifungue.
Sasa hivi kuna mdada aliambiwa atakuwa amejifungua tarehe 2 yan leo na bado ajajifungua lakin leo ametapika sana ila ashapelekwa hospital sijajua kinachoendelea ila anaweza chomwa sindano ya uchungu.

Akikaaa sana mtoto si vizuri wai hospital sasa hivi. Tunakupenda apa JF
 

Brine

JF-Expert Member
Oct 28, 2011
376
225
Usijali sana mda bado ila huwa wanashauri ukizidisha wiki 40 uwe unaenda clinic kila wiki na fanya mazoezi ya kutembea. Mm nilikaa hadi wiki 40 na siku 4 ndio nikajifungua kawaida
 

mkagulu original

JF-Expert Member
Dec 30, 2013
703
225
Kumbuka ukipitiliza kichwa cha mtoto hukomaa na kusababisha kutosnaa wakati wa kupita kwenye nyonga! hivyo kulazimisha kisu! Zingatia tarehe yako!
 

Rweye

JF-Expert Member
Mar 16, 2011
16,414
2,000
Duh! pole sana dada Mungu aliyekupa huo ujauzito akutangulie pia
 

UWOGA=UMASKINI

JF-Expert Member
Dec 30, 2013
2,364
2,000
Usijali sana mda bado ila huwa wanashauri ukizidisha wiki 40 uwe unaenda clinic kila wiki na fanya mazoezi ya kutembea. Mm nilikaa hadi wiki 40 na siku 4 ndio nikajifungua kawaida
nashukuru sana ulikuwa na tatizo gani nawe mwenzangu
 

chamtu

Member
May 7, 2013
20
20
aSANTENI WOTE MBARIKIWE

Ikifika wiki 4
2 ndo uanze kuogopa, hiyo isikuogopeshe, hutakiwi kipanic sio salama kujitia presha. Soma dalilo za msingi tu, subiri. Mke.wangu alijifungua na wiki 42 tena kawaida. Hakuna cha utosi kukomaa wala nini... maumbile ya mtu na,mtu, na Mungu akipenda.
 

Siku za ajabu

JF-Expert Member
Dec 23, 2012
1,148
2,000
aSANTENI WOTE MBARIKIWE

ushauri wangu hapo maombi yanahusika sana na usiende kwa nabii ..karibu kanisani sabasaba yupo mtumishi mchungaji katunzi atakuombea viwanja vya maonyesho sabasaba ibada inaanza saa3asbh ukiingia ndani uliza mchungaji katunzi viwanja vya sabasaba ukumbi pta.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom