wakati mwingine ni mawazo tu na kama unaangalia porn za jinsia moja unaeza kuwa unatamani pia kuwa top?dawa muhimu zaidi ni kujichanganya na watu na kujiepusha na kukaa peke yako kabisaa
NAHIS YAKO IMEZIDI JAPO NA MIE NILIKUA NA HALI HIYO YA KUPENDA KUKAA PEKE YANGU KUTOPOKEA SIMU! LAKIN ILIKUJA IKAISHA BAADA YA KUOLEWA MUME WANGU ALIKUA NI RAFIKI YANGU MKUBWA SANA KIASI KWAMBA AKIWA MBALI NAUMIA...NILIVYOPATA WATOTO HIYO HALI IMEPOTEA KABISA SASA SIWEZ KUKAA PEKE YANGU ILA...
hili suala la mifuko linahitaji sana ushirikiano ngazi za juu hadi ngazi za chini kabisa mfano kitongoji..hivyo vifungashio vinatumika sana maeneo ya wulayani na mpaka sasa inaonekana ni kawaida tu! tamko lenyewe ni kama limepooza hivi sasahivi...
elimu hakuna tena wala katazo...ni kama wahusika...
inaezekana umetoa elimu lakini uzi wako ulikua unaonyesha unakuja na maelezo ya kitaalam zaid badala yake umeweka blablaa umemaliza! siku nyingine jifunze vizuri kuhusu chemistry
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.