Ninahisi nahitaji msaada wa kisaikolojia...

Ninahisi nahitaji msaada wa kisaikolojia...

no it's not awkward, your mind creates that awkwardness and you believe it.
mi kuna mshkaji wangu amewahi kuniambia anapenda sana mitazamo yangu kuhusu maisha.
humu ndani kila siku utaona comments mwanaume anamwambia mwanaume mwenzake "kaka nakukubali sana", mwenzake anajibu "pamoja sana mkuu"
punguza kumek assumptions afu kumbuka wewe sio wa muhimu kama unavojichukulia.
whether you exist or you dont life still goes on.

Asante kwa ushauri wako unaendelea kunijenga
 
Just the way alivyo tu...yaan nikimwona tu..na kuna other factors kama course aliyosoma ndo course niliyoitamani kusoma ila sijaisoma hiyo...mahali anapotokea ni sehemu ambayo pia naipenda
Mkuu mpaka sahv ukimuona unakuwa na Hiyo hali?
 
Na hilo pia, litapita.
Yapo mambo ambayo kweli ni tatizo na ushauri kweli unahitajika, ila hili la kwako linasababishwa na kutofanya ibada yoyote, upo upo tu kama kiroba vile. Fanya ibada acha ujinga uende mbinguni. Alaaaaa
Ahaaahaaa
 
Sikuhizi hatuonani...tulikuwa tunaonana sana chuo so chuo kimeisha
Me, nimekuelewa kaka, kwa mtazamo wangu sioni km n Tatizo kumpenda jamaa n hali inayotokeaga kwa watu tofaut... Tatizo nnaloliona kwako n ww kuichukulia Hiyo hali in negative way...
 
Just u can’t understand
We jiendekeze tu, unashauriwa unajifanya una misimamo yako ya kiboya. Kwahiyo unatakaje, machoko wakufuate pm uchague? Okay nipe namba ya huyo mwanaume ambae ukimuona unasikia nyege nikusaidie kukuunganisha nae
 
We jiendekeze tu, unashauriwa unajifanya una misimamo yako ya kiboya. Kwahiyo unatakaje, machoko wakufuate pm uchague? Okay nipe namba ya huyo mwanaume ambae ukimuona unasikia nyege nikusaidie kukuunganisha nae

Ndo maana niliandika sipendi matusi ama kejeli...respect ur self
 
Ndo maana niliandika sipendi matusi ama kejeli...respect ur self
Unaongea hisia za kisodoma unataka tuongee na wewe huku tunang'ata kucha, pimbi weeeh, huo ushenzi tunajua unafanyika, kama unajisikia kufanya au kufanywa nendeni mkapinduane kimya kimya usituletee mada za kishetani hapa. Kadiri mnavyojiongelesha kwa uwazi ndivyo mnavyochota wafuasi zaidi na kutuharibia kizazi, mnataka vijana wanaokua waone kuwa shoga au kula kiboga ni jambo la kawaida na ni bora kuwa muwazi tu, manina hakuna cha uwazi kitu, koma kama ulivyokoma pimbi wee.
 
Unaongea hisia za kisodoma unataka tuongee na wewe huku tunang'ata kucha, pimbi weeeh, huo ushenzi tunajua unafanyika, kama unajisikia kufanya au kufanywa nendeni mkapinduane kimya kimya usituletee mada za kishetani hapa. Kadiri mnavyojiongelesha kwa uwazi ndivyo mnavyochota wafuasi zaidi na kutuharibia kizazi, mnataka vijana wanaokua waone kuwa shoga au kula kiboga ni jambo la kawaida na ni bora kuwa muwazi tu, manina hakuna cha uwazi kitu, koma kama ulivyokoma pimbi wee.

Poor you...siwezi jibishana na wewe okay by the way fikiria unavyofikiria...Muhimu I know who I’m
 
Wewe ni mgonjwa and u need to see a doctor, wewe ni mdhambi and u need to repent. Full stop
usihukumu mana kipimo kile kile umpimiacho mtu ndicho utakachopimiwa, who are u to tell someone ni ''mdhambi''? toa kwanza boliti kwenye jicho lako ndipo utoe la mwenzio
 
mdogo wangu baada ya kufatilia comments za watu na majibu yako nimekuja kugundua tatizo lako mwishoni mana mwanzoni nilikuwa kama sijakuelewa, tatizo lako wewe ni kutojiamini mbele ya huyo unae mu admire ndo mana hata yeye akakikufata kukusemesha u feel uncomfortable, unahisi kama atakuona mpaka ndani na kugundua kwamba unamkubali sana na wewe ni wale watu wanaojiona special wanataka kuwa admired and not the other way around. Hapo dawa ni kujiachia kwake yani ukimuona mchangamkie tena umfate, kama ngumu kumuona namba yake unayo mpigie ongea nae utashangaa hiyo hali itaisha naona utajihisi normal again mbele yake
 
Ulimiss upendo wa baba.
1. Jichanganye na wanawake na acha kuangalia pono.
2. Fanya mazoezi uongeze uwezo wa kufanya mapenzi na mademu.
3. Acha kupenda kukaa mwenyewe na kuwaza upuuzi.
4. Acha kujilegeza legeza kuwa ngangari mzee tutakupoteza shukuru una marafiki sio mamende...
5. Unaishi wapi na umekulia wapi? Unaishi mwenyewe au bado upo kwa mama?
Mm simjui dingi lai ila sina izo mikato
 
Habarini za humu JamiiForums ....Kwanza kabisa nitoe angalizo sihitaji matusi au kejeli...

Ipo hivi mimi ni kijana umri wangu miaka 25 ni mhitimu katika chuo Kimoja hapa hapa Dar es Salaam.Shida yangu kubwa ni kwamba ninahisi ninatatizo la kisaikolojia hii ni kutokana na vitu ambavyo ninavipitia katika maisha yangu..wakati bado nipo chuo huwa kuna hali ilikuwa inanitokea hali hiyo naona inaniletea madhara katika maisha yangu yaani ipo hivi kuna mtu mmoja jinsia yangu kabisa ila ilikuwa yaani ninamuadmire sana kiasi kwamba unakuta ninamfatilia au ninamfikiria kimsingi mimi ni rijali kabisa ila hii hali inanishangaza Kwann nisiwe na time ya kufikiria sana watoto wakike then niwe namfatilia au kumfikiria mtu ambaye hana mpango na mimi au hakuna chochote kitakacho endelea hata kama nikiwa nae karibu...Yaani ilifika time nikamfollow kwenye mitandao ya kijamii na kuanza kuchat nae yaani basi tu..Hadi namba yake ninayo ila ninachojiuliza kwanini nihisi hivyo au nina nn....Naombeni ushauri au kama pia kuna mtu wa saikolojia anisaidie.
Asanteni
wakati mwingine ni mawazo tu na kama unaangalia porn za jinsia moja unaeza kuwa unatamani pia kuwa top?dawa muhimu zaidi ni kujichanganya na watu na kujiepusha na kukaa peke yako kabisaa
 
Back
Top Bottom