Anahitajika meneja wa redio

Anahitajika meneja wa redio

Sifa awe na uzoefu wa kuanzia miaka miwili
Ukiwa anajua marketing ni sifa ya ziada
Tangazo limekaa kitapel hajaweka details muhimu kama jina la radio ipo wapi mwisho ln age duuh utumbo utumbo tyu sijui ni mtt
 
Radio ya dini au Kidunia???

Hiyo Redio yenye unaijua Ndugu? Ndiyo nyie nyie mnaokuwa mnawasiliana na Majini bila Kujijua. Ameweka hapo Tangazo lakini Redio wala Kampuni yake hajaitaja na Wewe tena unakurupuka Kuulizia kama ni ya Kidini au Kiulimwengu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom