Recent content by malimu junior

  1. M

    JamiiForums Tanzania Trafic na fine za magari!

    Wakuu inakuwaje askari barabarani wanasimamisha magari na kuwaambia madreva wanamakosa mbalimbali na kuwatiza fine, cha ajabu na kweli hawapewi risiti za serikali licha ya kuandikiwa karatasi ya fine na kuambiwa wakirudi waje wachukue risiti!? Je kwani maaskari hao hawana risiti barabarani mpaka...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Changamoto ya Uhakiki wa Watumishi Halmashauri ya Meatu

    Je watawapangaje kwenye mistari kwan watumishi wao hawajui iweje ili waweze kupata huduma nzur?
  3. M

    JamiiForums Tanzania Changamoto ya Uhakiki wa Watumishi Halmashauri ya Meatu

    Mtoa mada lete mada yenye mashiko
  4. M

    JamiiForums Tanzania Msaada: Sehemu wanapotoa kozi za computer

    Uko wapi
  5. M

    JamiiForums Tanzania UKAWA wasoma bajeti ya maendeleo Kinondoni, wananchi kutibiwa bure!

    Cha mno tuwe wachapa kazi na wala vyama vyetu havitatiletea utajir wala.maendeleo. wao watengeneze mazingira rafika ili kila mtanzania mwenye nguvu afanye kazi
  6. M

    JamiiForums Tanzania UKAWA wasoma bajeti ya maendeleo Kinondoni, wananchi kutibiwa bure!

    Ukichukua hiyo elf 40000 ukagawa kwa 12 miezi unapata sh ngap kila mwezi!nadhan itakuwa 3400/ivi. Na maeneo mengi wananchi wanahamasishwa kutoa sh 10000 kaya moja na watibiwe bure kwa mwaka! Je wapi ni bure huko au kwingine
  7. M

    JamiiForums Tanzania UKAWA wasoma bajeti ya maendeleo Kinondoni, wananchi kutibiwa bure!

    Mi nilijua ni bureeeeee sasa hiyo hela inatoka wapi
  8. M

    JamiiForums Tanzania Utaratibu mpya kwa wanaotaka kujiunga na MASTER DEGREE UDSM

    Kwanza hakuna kitu kama hicho!tunaomba mtoa habari atoe source maana ni leo tu nimeona udsm program nyingine wanataka hata ukiwa na lower class hata kama umetoka chuo kingine tofaut na udsm
  9. M

    JamiiForums Tanzania Mhasibu H/shauri Singida kortini kwa kupokea Tsh29.4m za watumishi hewa

    Hizo million mbona kidogo kwa wafanyakazi hao
  10. M

    JamiiForums Tanzania Mishahara hewa: Mkurugenzi Utumishi wa Umma asimamishwa

    Hay sass
  11. M

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli ametengua uteuzi wa Mhariri Mtendaji wa Magazeti ya Serikali

    Jamani atawamaliza
  12. M

    JamiiForums Tanzania Matokeo ya kidato cha sita ya mbunge wa Simanjiro, Ole Sendeka

    Hapo sasa
  13. M

    JamiiForums Tanzania Hakika Pasco alikuwa sahihi kuhusu Magufuli

    No let it be like that!tulizoea maisha ya kulindana
  14. M

    JamiiForums Tanzania Nchi hii ilikuwa na mambo ya hovyo: JK anajisikiaje

    Mkwere yupo!
  15. M

    JamiiForums Tanzania Kasi ya Magufuli imewapotezea dira ya UKAWA

    Naunga mkono
Back
Top Bottom