Trafic na fine za magari!

malimu junior

Member
Apr 10, 2016
44
18
Wakuu inakuwaje askari barabarani wanasimamisha magari na kuwaambia madreva wanamakosa mbalimbali na kuwatiza fine, cha ajabu na kweli hawapewi risiti za serikali licha ya kuandikiwa karatasi ya fine na kuambiwa wakirudi waje wachukue risiti!? Je kwani maaskari hao hawana risiti barabarani mpaka waende kituoni!

Naomba kuwasilisha
 
Back
Top Bottom