Changamoto ya Uhakiki wa Watumishi Halmashauri ya Meatu

Yohana Kilimba

JF-Expert Member
Joined
Dec 25, 2012
Posts
8,105
Reaction score
5,642
Naupongeza Uongozi wa Raisi Magufuli kwa Kuagiza Uhakiki wa Watumishi Hewa Nchini Kote. Leo Hii na Jana Ndio Siku za Uhakiki Hapa Meatu. Ila Tangu Asubuhi Nimezishuhudia Changamoto Zifauatazo:

a)Uongozi Wa Halmashauri Kukosa Hekima na Ubinifu. Mathalani Wameshindwa Kuwapanga Watumishi Katika Mistari na Kupelekea Watumishi Kujichomeka Katika Mistari

b)Watumishi Kufanya Uhuni wa Kujichomeka Katika Mistari

c)Watumishi wa Kike Kujibebesha Watoto Hili Wahudumiwe Haraka

Ushauli:
Ofisi ya Afisa Elimu(msingi) na Afisa Elimu(sekondari) Wawaite Watumshi Walio Chini Yao Katika Ngazi ya Aidha Tarafa au Kata Hili Kuepusha Foleni Ndefu Kama ya Akina Mama Wa Tandale Kwa Mtogole Wanaosubiri Kuchota Maji Pale Lingo la Kuni!
 
Naupongeza Uongozi wa Raisi Magufuli kwa Kuagiza Uhakiki wa Watumishi Hewa Nchini Kote.
Leo Hii na Jana Ndio Siku za Uhakiki Hapa Meatu.
Ila Tangu Asubuhi Nimezishuhudia Changamoto Zifauatazo:
a)Uongozi Wa Halmashauri Kukosa Hekima na Ubinifu.
Mathalani Wameshindwa Kuwapanga Watumishi Katika Mistari na Kupelekea Watumishi Kujichomeka Katika Mistari
Mkuu toa maelezo ya kina. Kuna wafanyakazi hewa wamejichomeka au kuna dili gani limechezwa? Unafikiri uhakiki utaweza kuwapata wafanyakazi wote hewa (kama wapo) au wanafanya maigizo. Kuna umuhimu wa ngazi za juu kutuma kikosi cha kuhakiki baada ya hili zoezi ili kuepunga udanganyifu?
 
uhakiki uko makini mkuu,mpaka sasa kuna watumishi hewa 15 walio kwisha gundurika!
watumishi wote wa halmashauri wamejipanga katika mistari ili kuingia ndani ya ukumbi wa halmashauri kuhakikiwa!sasa kuna watumishi walio kosa ustaarabu wanao jichomeka katika mistari kinyemela badala ya kufata utaratibu
 
Mtoa mada lete mada yenye mashiko
mada mbona iko makini!mie najaribu kuleta changamoto hii humu hili kujaribu kuwasaidia watumishi wa wilaya wahakikiwe kwa haraka na kwa ufanisi hali ya juu!na pia kujaribu kuwapata hawa watumishi hewa!
 
Hapo mnapohakikiwa Hua wanakagua vitu gani au mnaitika majina Tu.
 
Je watawapangaje kwenye mistari kwan watumishi wao hawajui iweje ili waweze kupata huduma nzur?
Ndio utaratibu wanao hutumia na ni mbaya,nashauri watumie utaratibu tarafa au kata hili kurahisisha kazi
 
uhakiki uko makini mkuu,mpaka sasa kuna watumishi hewa 15 walio kwisha gundurika!
watumishi wote wa halmashauri wamejipanga katika mistari ili kuingia ndani ya ukumbi wa halmashauri kuhakikiwa!sasa kuna watumishi walio kosa ustaarabu wanao jichomeka katika mistari kinyemela badala ya kufata utaratibu
Mkuu nashukuru. Pamoja sana. Hilo la kujichomeka ni kukosa ustaarabu. Ingebidi viongozi wanaosimamia hili zoezi waweke utaratibu wa kueleweka ili anayewahi kupanga foleni ndie awe wa kwanza kuhakikiwa.
 
Naupongeza Uongozi wa Raisi Magufuli kwa Kuagiza Uhakiki wa Watumishi Hewa Nchini Kote. Leo Hii na Jana Ndio Siku za Uhakiki Hapa Meatu. Ila Tangu Asubuhi Nimezishuhudia Changamoto Zifauatazo:

a)Uongozi Wa Halmashauri Kukosa Hekima na Ubinifu. Mathalani Wameshindwa Kuwapanga Watumishi Katika Mistari na Kupelekea Watumishi Kujichomeka Katika Mistari

b)Watumishi Kufanya Uhuni wa Kujichomeka Katika Mistari

c)Watumishi wa Kike Kujibebesha Watoto Hili Wahudumiwe Haraka

Ushauli:
Ofisi ya Afisa Elimu(msingi) na Afisa Elimu(sekondari) Wawaite Watumshi Walio Chini Yao Katika Ngazi ya Aidha Tarafa au Kata Hili Kuepusha Foleni Ndefu Kama ya Akina Mama Wa Tandale Kwa Mtogole Wanaosubiri Kuchota Maji Pale Lingo la Kuni!
Simama uhesabiwe,usilete janja.
 
Uhakiki unafanywa kwa watu kujipanga mstari halafu nini kinafanyika? Kuitika jina? Hivi kama ninamtu wangu wa hewa kwenye payroll, siwezi kumfanya mtu ajipange na aitike hilo jina?!!!!!!.

Naomba anayeelewa atoe ufafanuzi kidogo. Nini kinahakikiwa? Je mtu wangu wa hewa akiwa mgonjwa anajipangaje?

Mtumish sahihi aliye likizo au aliyesafiari anahakikiwaje na kutofautishwaje na hewa? Sababu hizo hizo zikitumika kulinda hewa zitathibitishwaje?
 
Aliye likizo wakaguzi wana angalia barua za ruhusa,na walio masomoni wakaguzi wanakagua release letters za walio masomoi!
huwezi kudanganya kwani wanakagua salary slip za mtumishi na cheque namba yake!na sharti moja wapo la ukaguzi na mtumishi kuonana na mkaguzi ana kwa ana
 
Mkuu toa maelezo ya kina. Kuna wafanyakazi hewa wamejichomeka au kuna dili gani limechezwa? Unafikiri uhakiki utaweza kuwapata wafanyakazi wote hewa (kama wapo) au wanafanya maigizo. Kuna umuhimu wa ngazi za juu kutuma kikosi cha kuhakiki baada ya hili zoezi ili kuepunga udanganyifu?
Uhakiki mzuri ni pale unampofuata mfanyakazi kituo chake cha kazi na kumkagua uhalali wake kwa kuangalia vigezo ainishi na sio kukurupuka kama hivyo.
Ninayo hakika bila ya kuwa na mpangilio mzuri hili zoezi litarudiwarudiwa sana na matokeo yake litaigharimu serikali pesa nyingi.
 
Mkuu nashukuru. Pamoja sana. Hilo la kujichomeka ni kukosa ustaarabu. Ingebidi viongozi wanaosimamia hili zoezi waweke utaratibu wa kueleweka ili anayewahi kupanga foleni ndie awe wa kwanza kuhakikiwa.
Nashuru hilo litashughulikiwa
 
Aliye likizo wakaguzi wana angalia barua za ruhusa,na walio masomoni wakaguzi wanakagua release letters za walio masomoi!
huwezi kudanganya kwani wanakagua salary slip za mtumishi na cheque namba yake!na sharti moja wapo la ukaguzi na mtumishi kuonana na mkaguzi ana kwa ana
Mkuu naomba niulize zaidi. Huyo mkaguzi anatoka wapi i.e. anajua watu wote walio katika ofisi husika? Kwa mfano mimi ni mkurugenzi na nina watumishi hewa ambao
Uhakiki mzuri ni pale unampofuata mfanyakazi kituo chake cha kazi na kumkagua uhalali wake kwa kuangalia vigezo ainishi na sio kukurupuka kama hivyo.
Ninayo hakika bila ya kuwa na mpangilio mzuri hili zoezi litarudiwarudiwa sana na matokeo yake litaigharimu serikali pesa nyingi.
Nakubaliana na wewe. Mimi (japo sina undani wa namna wafanyakazi hewa wanavyo exist na kulipwa) lakini naona kama kunaweza kuwa na udanganyifu baadhi ya sehemu
 
Back
Top Bottom